sheria

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  2. JamiiForums Tanzania Haki ya Mwanamke kabla ya Uislamu: Sheria Mbalimbali zinazolinda Haki za Mwanawake

    Ulinzi wa haki za binadamu ni haki ya msingi kwa kila mwanadamu ambapo mwanamke na mwanamme wana haki sawa katika kufaidi haki hizo. Kukosekana kwa haki hizo kunapelekea kudharaulika, kuongezeka umasikini na kukosekana kwa amani ya wanawake. Mikataba mbalimbali imepitishwa ili kuhakikisha kuwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Apple, Google, Tesla na Microsoft zafunguliwa kesi kwa kuwatumikisha watoto katika migodi kinyume cha sheria

    Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC. Kesi hii ilifunguliwa na mawakili wa kimataifa wa haki za binadamu kwa niaba ya familia 14 DRC...
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia India

    Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu. Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Kibano wanafunzi watoro chawadia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na mambo mengine, utapunguza siku na kuwa chini ya 90. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki jijini hapa na Mkurugenzi Msaidizi Msingi na Uendelezaji wa Sera wa Wizara...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Tunahofia sheria mpya ya uraia India, inabagua

    Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

    Diaspora wengi hasa wa US walikuwa wameanza kutuma pesa zaidi kwasababu ya urahisi wa kutuma pesa. Kwa kutumia hizi Apps. Lakini inaelekea Serikali imeonzeza sana sheria kiasi kwamba inaweza kufanya watu waache kutumia hizi app na kupunguza mapato makubwa kwa nchi. Maswali ya uraia, kutuma...
  9. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa simamia sheria bila uoga

    Msajili simamia sheria bila uoga Nimeipitia sheria mpya ya usajili vyama vya siasa. Sheria hii inampa msajili mamlaka ya kusimamia chaguzi ndani ya vyama ili kuhakikisha haki imetendeka, taratibu za kupata viongozi zimefuatwa na demokrasia imezingatiwa katika kupata viongozi. Kwa utaratibu huu...
  10. JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa kuhusu pensheni waathiri usafiri Ufaransa

    Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria wasema matendo ya Rais Trump yanatosha kumfungulia kesi ya kutimuliwa

    Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo yanayokidhi vigezo vya kufunguliwa kesi ya kutimuliwa madarakani. Maprofesa hao watatu walialikwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokwenda tunaweza kuja kuwa na sheria zitakazotungwa kwa lengo la kuwazuia baadhi ya watu tishio kugombea nafasi nyeti hapa nchini

    Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge. Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Taasisi 20 Nchini wasimamishwa kazi kwa kukiuka Sheria za manunuzi

    Serikali ya Tanzania imewasimamisha kazi watendaji 20 wa taasisi mbalimbali kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Akizungumza leo Jumatano Novemba 27, 2019 katika jukwaa la 12 la ununuzi wa umma la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuwa wazalendo kwa hiari ni ngumu: je, Bunge halina budi kumsaidia Rais kutunga sheria watu kuwa wazalendo kwa lazima?

    Kadiri siku zinavyokwenda, uzalendo wa baadhi ya watu kwa nchi yao unazidi kupungua tena bila sababu ya msingi. Baadhi ya watu wamefikia hatua kufurahia mali za serikali zinapozuiwa au kukamatwa nje ya nchi, wengine wanaona fahari kutetea mabeberu wanaonyonya mali za nchi. Haya ni baadhi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Power of Attorney ina umuhimu gani?

    Habari wakuu, Power of Attorney ni kitu ambacho nimekuwa nakutana nacho mara kwa mara. Ni kitu ambacho kwa maoni yangu, si cha kawaida sana Tanzania kama ilivyo nchi za wenzetu. Inawezekana ni desturi yetu au inawezekana pia ni kwasababu wengi wetu hatuna uelewa wa kutosha kuhusu jambo hilo...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaipitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI. Hayo ameyabainisha leo Novemba 11, 2019 wakati wa ufunguzi wa semina elekezi kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

    Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji. Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu...
  18. JamiiForums Tanzania Ambaye amekwazwa na shughuli za uchaguzi akalalamike kwenye Bunge au Mahakama za Afrika Mashariki – Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

    Serikali imewataka watu ambao hawaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro leo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  20. JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…