Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge.
Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi ndani ya vyama vyao.
Hivyo, iwapo Lissu una mpango wa kugombea ile nafasi nyeti mwaka 2020 au 2025, basi tafakari sana juu ya jambo hili na ufanye maamuzi sahihi angali mapema.
Yangu ni hayo tu wakubwa.