sheria

  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria Tanzania: Ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuwe na utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa

    Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki unaheshimiwa. Nshala ameyasema hayo leo Alhamisi Februari 6, 2020 katika maadhimisho ya siku ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwajiri alikuwa hapeleki michango ya mifuko ya hifadhi ya jamii. PSSSF wanakataa kumbana kwa mujibu wa sheria

    Mtumishi mmoja baada ya kuachakazi na kulipwa mafao yake (pungufu) akaanza kudai Mapunjo ya miezi karibia 12 yenye dhamani zaidi ya millioni 2 (hiki ni kiasi kikubwa). Akafungua file la madai. Chakushangaza PSSSF inamwambia mteja wake kuwa Huyo mwajiri hataki kutoa ushirikiano wa kulipa hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kama hii ilipotolewa Bungeni, Bunge lilichukua hatua gani kulingana na sheria, taratibu na kanuni za Bunge?

    Fikiria tuhuma nzito kama hii inatolewa ndani ya Bunge na Mheshimiwa Mbunge halafu ukimya unatanda. Bunge kimya, vyombo vya usalama kimya, chama husika kimya na wananchi wanaowakilishwa na huyo Mbunge kimya! Je ni woga, ujinga au ukondoo. Watanzania hebu tutulie, tujitafakari na tujiulize kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Uzuiaji wa mikutano ya kisiasa na sheria ya habari je zimetusaidia chochote ?

    Je kwa mawazo yako hizi sheria za habari ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na kusababisha waandishi wa habari na wanasiasa wengi kufunguliwa kesi zimesaidia nchi yetu kwa miaka minne sasa?. Vilevile uzuiaji wa mikutano kwa wapinzani Je imeleta amani yeyote na imesaidia chochote?. Tuliambiwa kufanya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  6. JamiiForums Tanzania Bunge lajadili mabadiliko ya sheria kujusu dhamana ya kesi za uhujumu uchumi

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwa kuwa kesi za uhujumu uchumi hazina dhamana ipo haja sasa kwa wabunge na Bunge kutunga sheria ya marekebisho na kubadilisha pale ambapo itaona panafaa. Hayo ameyabainisha leo Januari 30, 2020, Jijini Dodoma, kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Utofauti wa Bunge, mkutano na kikao kwa mujibu wa sheria

    Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nikiwa kwenye daladala zinazoenda Mwenge nimekuta kuna mtu anamsimulia mwenzake utofauti uliopo kati ya kikao na mkutano kwenye masuala ya Kibunge. Lakini aliyekuwa akizungumza niligundua naye hanaufahamu wa kutosha juu ya dhana hizi. Hata hivyo nikiwa nasubiri...
  8. JamiiForums Tanzania Alichosema John Locke kuhusu sheria na haki

    Habari my comrades Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
  9. JamiiForums Tanzania Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

    Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam. Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti?

    Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya kumuweka mtu mahabusu (ndani) haitumiwi vibaya?

    Nimekuwa nikisikia na kuona watu wenye dhamana kubwa wakiwaamuru polisi wawakamate na kuwaweka ndani watu ambao hawakimbii, hawaleti fujo na wala hawatishii usalama wa watu wengine. Wanaagiza watu hao wakamatwe kwasababu tu wamechelewa kumalizia kazi waliyopewa kwa muda waliopewa. Hivi watu...
  12. JamiiForums Tanzania Papa Benedict amemtaka Papa Francis kutolegeza kamba kuhusu sheria ya useja

    Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki Papa Benedict wa 16 ametetea suala la makasisi kutofunga ndoa wakati ambapo mrithi wake anafikiria kulegeza marufuku hiyo kwa wanaume wanaooa ambao wanahudumu kama makasisi. Papa Benedict amesema hayo katika kitabu walichoshirikiana na Kadinali Robert Sarah...
  13. JamiiForums Tanzania Learn the Law: Nini kilitangulia kati ya makosa na sheria

    Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili; 1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia? 2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria? 3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuja na sheria ya adhabu za papo kwa papo kwa madereva ili kupunguza ajali za barabarani

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kutunga Sheria ya Adhabu ‘’papo kwa papo’’ ili kudhibiti ajali, ambazo zimekuwa zikisababisha vifo vya wananchi wengi wa Zanzibar. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mustafa Aboud Jumbe wakati...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

    Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wagombea waliopitia JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kwa hiari kupewa kipaumbele kura za maoni CCM

    Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT. Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

    Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja . Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha Hayo yamesemwa na Makamu...
  18. JamiiForums Tanzania DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, amezuia Sh. 42 milioni za mfuko wa Jimbo la Hai na kuagiza kati ya fedha hizo Sh. 7 milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni iliyopo kata ya Mnadani wilayani humo. Fedha hizo za mfuko...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana na mimi nikaandikishiana naye kwamba anipe chumba kikiwa kimekamilika kimatengenezo. Mimi nikaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…