CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,040
Reaction score
288,415
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .

Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha

Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "

Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
 
Naona ugumu katika kesi hii, ila kama wangelikuwa majaji wa dhahabu akina Lugakingira, Mwalusanya hii ilikuwa kesi nyepesi sana, maana sheria hii ina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu! Lakini kwa combination ya timu hii, ni vigumu kupata la maana. LAKINI NI VEMA KUSEMA KULIKO KUNYAMAZA, NGOJA WAFUNGUE KESI IINGIE VITABUNI
Toothless Parliament, Powerless Courts, and Omnipotent President
1577814883153.png
 
Naona ugumu katika kesi hii, ila kama wangelikuwa majaji wa dhahabu akina Lugakingira, Mwalusanya hii ilikuwa kesi nyepesi sana, maana sheria hii ina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu! Lakini kwa combination ya timu hii, ni vigumu kupata la maana
Toothless Parliament, Powerless Courts, and Omnipotent President
View attachment 1308742
Kukaa kimya ni jambo baya zaidi , wacha dunia ione
 
Cheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .
Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
 
Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa
dhamana ya kuongoza taifa!
Daktari mwenye tuhuma za utoaji mimba ameshitakiwa kwa utakatishaji fedha za madafu 260 , 000/= unataka tuunge mkono ujinga huu ? Never Ever !
 
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .

Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya kishenzi ya utakatishaji fedha

Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "

Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
Mafisadi waliiba 1.5T na hawajafanywa lolote.
 
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .

Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya kishenzi ya utakatishaji fedha

Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "

Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Ofisi ya DPP imekuwa ya "kishenzi"sana.
 
If there is prima facie evidence yakumuweka a culprit hatiani ,kwa nini case inachukuwa muda mrefu kwa kisingizio bado upelelezi unaendelea mtuhumiwa anakaa miaka 3 ndani ananyimwa dhamana.
 
Back
Top Bottom