sheria

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  2. JamiiForums Tanzania Uadilifu Malawi: Mwanasheria aliyemsaidia Rais Chakwera kushinda kesi ya uchaguzi akataa uteuzi wa kuwa Waziri wa Sheria na Haki

    Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera. _ Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

    Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali. Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje suala hili?

    Naomba kujua sheria zinasemaje, Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na Polisi, na kuchunguza nyaraka zake. Huyu Mheshimiwa anakwepa kwepa kwa kuandika barua sehemu...
  6. JamiiForums Tanzania DRC: Kukamatwa kwa Waziri wa Sheria kwaleta tishio la kuvunjika kwa Serikali ya Mseto

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais kuwahakikishia mawaziri utetezi wa kisheria. Waziri wa Sheria Celestin Tunda alikamatwa na polisi Jumamosi...
  7. JamiiForums Tanzania Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  10. JamiiForums Tanzania Ufahamu wa sheria za barabarani

    Habarini wakuu. Naomba kufahamu kuhusu hizi sheria za barabarani, nimechanganyikiwa baada ya jana jion kukutana na trafiki apa kituo cha segerea akiwa anang'oa plate number ya daladala. Naomba kufahamu juu ya hizi sheria na mamlaka aliyo nayo huyu trafiki na zipi ni hatua stahiki za kufuata na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

    Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni. Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa unashindwa vipi!?

    Katika KAZI rahisi Sana ktk nchi hii mojawapo ni mkuu wa Mkoa (mwakilishi wa Rais kama wanavyopenda kujiita). KAZI kubwa ya RC ni kusimamia ulinzi na usalama Kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo mkoani kwake. Kwangu Mimi hii ndio KAZI mama ya RC, Mambo mengine kama vile...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Wanyonge anajitungia sheria ya kutoshitakiwa ndani ya siku 3 lakini sheria ya kuwapa raia dhamana hataki mwaka wa 5 huu

    Anajiita Rais wa wanyonge ambaye ni muadilifu, Mcha Mungu na Mpenda wanyonge ambaye kajawa na hofu ya kushitakiwa kwa mema anayoyafanya kwa wanyonge wake na kuamua kujitungia sheria ya kutoshitakiwa atokapo madarakani kwa uadilifu anaoufanya kwa taifa la wanyonge. Kiongozi huyo wa wanyonge na...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria ya kuoa single mama...

    Ni tumaini langu kwamba wana JF mtakuwa mpo swalaama, hata mimi new member humu ndani ila ni new member kiusajili tu, naweza sema sababu nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa threads za JF toka enzi za kina Nyani Ngabu, King'ati, General Garadudu etc. Lets go on topic, nimeona thread nying sana za...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli akivunja sheria za barabarani wakati akitokea ofisi za CCM alipoenda kuchukua fomu ya urais

    Hatimaye kampeni zimeanza, tumeanza kujishusha kwa wananchi. Haya maving'ora kwa sasa yatatupunguzia kura. Rais Magufuli leo anaonekana Dodoma akiwa na gari binafsi huku akitanua bila wasiwasi wowote.
  16. JamiiForums Tanzania Wakati Umma wa watanzania unatamani tuwe na Katiba mpya iliyoboreshwa, watawala wao wanaendelea kututungia sheria za ukandamizaji!

    Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Sheria mpya inaenda kuua uzalendo na uwajibikaji wa viongozi wakuu wa mihimili, na nguvu za mihimili anaenda kupewa Rais

    Tanzania abolishes Public Interest Litigation (A Comment on the Amendment of Basic Rights and Duties (Enforcement) Act (Cap. 3 of the Revised Laws of Tanzania) By Issa G. Shivji Emeritus Professor of Public Law University of Dar es salaam The National Assembly of Tanzania on 10 June 2020...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

    Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6. Napenda...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Sheria Kali za kudhibiti Covid 19 zinawalenga masikini pekee

  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Maana ya ndoa Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Aina za ndoa Kuna aina mbili za ndoa zinazotambuliwa na sheria hiyo: 1) Ndoa ya mke mmoja - hii ni ndoa ambapo mwanaume ana mke mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…