MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI.
Tarime, 16 May 2021
Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4 (2)).
Stahiki na mafao yao ma-RC na ma-DC zimeelezwa katika Sehemu ya 6 ya Sheria ya the Political...
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.
Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na...
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano.
Profesa Joyce Ndalichako amesema haya...
Kwenye upande wa watoto wa...
Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa
Kevin Strickland, ambaye alifungwa gerezani kwa miaka 43 kimakosa kwa madaia ya hatia ya mauaji matatu katika jiji la Kansas nchini Marekani (USA), ameachiliwa huru.
Kulingana na ripoti ya Sputnik, kesi hiyo ilianzishwa baada ya mauaji...
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .
Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni...
Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki.
Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola?
Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia...
Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya
Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.
Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.
Ramadhan kareem!
Nimependa mapendekezo ya Spika leo.
Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE.
Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia.
Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
Habari za weekend wana JF
Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo...
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa.
Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake...
Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana kulishana uchafu(makamasi).
Kutokana na ujio wa Covid, ugonjwa unaosambaa kwa njia kadhaa ikiwemo mtu...
SURA YA KWANZA
HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI
Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:-
A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI
Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:-
· Ardhi yote...
Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria.
Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja sheria?
Kazi Iendelee!
Nina maswali machache sana.
Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba?
Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Kuna matukio mawili yameacha UTATA na kupelekea kuvurugika kwa mechi mbili tofauti.
1. Golikipa alishika mpira na baada ya kushika vizuri, fowadi alikuwa mitaa ile ndani ya 18. Kwa mshangao golikipa alimpiga Pepsi bila sababu, refa alifunika tuta. Jambo ambalo lilipelekea mchezo kuisha. Baadhi...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron.
Dkt. Ndumbaro ameigiza umiliki huo urejeshwe kwa kampuni ya Green Miles Safaris Ltd hadi mwaka 2022.
Chanzo...
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini.
Hayo yameelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akifungua kongamano la wadau...