sheria

  1. JamiiForums Tanzania Iran: Kikosi cha kidini chavunjiliwa mbali, na pia sheria kandamizi za kidini kuondolewa

    Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana wananchi bado wamekomaa.. ================ Iran’s Attorney General Mohammad Jafar Montazeri said...
  2. JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ipo haja sheria za unywaji pombe bar zirekebishwe

    Leseni zinasema bar ifunguliwe saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za J3-Ijumaa na Jumamosi na Jumapili saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku. Nashauri leseni ziruhusu kunywa pombe masaa yote Isipokuwa kwa staha maalumu, namaanisha kwa masaa kabla ya saa kumi pombe zinywewe ndani ya bar au mahala...
  5. JamiiForums Tanzania China: Maandamo ya kupinga Sheria za COVID-19 yashika kasi

    Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kikristo Duniani inayoongozwa kwa sheria za Kikrito?

    Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko. Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  10. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ipitishwe sheria ya kumuwajibisha Hakimu anayehukumu watu bila ushahidi usioacha shaka

    Hakimu aliehukumu watu bila ushahidi,naye ahukumiwe,ipitishwe Sheria ya kuhukumu watu Kama Hawa. Haiwezekani, hakimu bila ushahidi anahukumu mtu anatumikia miaka miwili, then anatolewa nje eti Hakimu alietoa hukumu hakuwa na ushahidi, huu ni ujinga Mkubwa.
  11. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

    Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kuna sheria inayowaelekeza CCM kutomkosoa mwenyekiti wao wa chama?

    Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight. Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki. Hawa wanaCCM...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi hii Sheria ya Marubani wa Ndege na Manahodha wa Meli bado inafanyika hadi hivi leo?

    Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  16. JamiiForums Tanzania Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  17. JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  18. JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…