Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,400
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio yale yale.
---

1669181734964.png
Njia ya mavazi ya Waislamu imesababisha sana katika miaka ya hivi karibuni, na vikundi vingine vinasema kuwa vikwazo vya mavazi hupunguza au kudhibiti, hasa kwa wanawake. Baadhi ya nchi za Ulaya wamejaribu hata kuharibu mambo fulani ya mila ya Kiislam, kama vile kufunika uso kwa umma. Ugomvi huu unatoka kwa kiasi kikubwa kutokana na udanganyifu kuhusu sababu za sheria za Kiislam.

Kwa kweli, njia ambayo Waislamu huvaa ni kweli inaendeshwa kwa unyenyekevu rahisi na tamaa ya si kutekeleza tahadhari ya mtu kwa namna yoyote. Kwa kawaida Waislamu hawapendi vikwazo vinavyowekwa kwenye mavazi yao na dini yao na wengi wanaiona kama taarifa ya kiburi ya imani yao.

Uislamu hutoa mwongozo juu ya nyanja zote za maisha, ikiwa ni pamoja na masuala ya ustahili wa umma. Ijapokuwa Uislamu hauna kiwango cha kudumu kama mtindo wa mavazi au aina ya nguo ambazo Waislamu wanapaswa kuvaa, kuna baadhi ya mahitaji ya chini ambayo lazima yatimizwe.

Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio yale yale....
Mwanaume muislam anahesabika yupo uchi kwa magoti kuonekana akiwa ndani ya sala
 
  1. Naration of Abu said al-khudri(ra) who said that the Messenger of Allah said: A man’s awarah is between his navel and his knees.
  2. Messenger of Allah said to Jabir(ra): Cover your thighs, for the thigh is the awarah.
  3. The Messenger of Allah said to Abu Hudaifah(ra) when he had his thigh uncovered: Do not reveal your thigh nor look at anybody else thigh, whether he is alive or dead.
 
Sikuwahi kujua kama una chuki za kidini kiasi hiki

Yale yale
  1. The Messenger of Allah said to Abu Hudaifah(ra) when he had his thigh uncovered: Do not reveal your thigh nor look at anybody else thigh, whether he is alive or dead.
 
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio yale yale.....

Kama hujui kitu uliza kwanza usibwabwaje maswali bila mantiki issue ya magoti yasiwe wazi ni kwa wanawake sio wanaume.Halafu kingine niongezee japo hujakisema kuvaa kanzu sio kwamba ni lazima bali ni utamaduni tu wa kiarabu na hii inatokana na hali ya hewa joto hata maaskofu wanavaa kanzu mfano mzuri angalia picha chini ya mfalme wa Quatar alivyotilia suti akiwa mkutanoni ujerumani wakimuomba hawauzie gas
 
Attachments

  • quatar.JPG
    quatar.JPG
    30.7 KB · Views: 3
Kama hujui kitu uliza kwanza usibwabwaje maswali bila mantiki issue ya magoti yasiwe wazi ni kwa wanawake sio wanaume.Halafu kingine niongezee japo hujakisema kuvaa kanzu sio kwamba ni lazima bali ni utamaduni tu wa kiarabu na hii inatokana na hali ya hewa joto hata maaskofu wanavaa kanzu mfano mzuri angalia picha chini ya mfalme wa Quatar alivyotilia suti akiwa mkutanoni ujerumani wakimuomba hawauzie gas

  1. The Messenger of Allah said to Abu Hudaifah(ra) when he had his thigh uncovered: Do not reveal your thigh nor look at anybody else thigh, whether he is alive or dead.
 
  1. The Messenger of Allah said to Abu Hudaifah(ra) when he had his thigh uncovered: Do not reveal your thigh nor look at anybody else thigh, whether he is alive or dead.
Ahsante ndugu yangu kwa kutoa ushahidi wa maandishi.Ni hivyi hapa anaongelea thigh ambapo ni mapaja sio magoti.Muislam kujisetiri wakati wa swala ndio anatakiwa afunike kuanzia kitovuni hadi magotini.Tofautisha wakati wa swala na kuwa mtaani au kwenye michezo
 
Mkafiri hawajiamini na dini lao ndio mana kila siku kuufatilia uislam
 
Dini iko mwilini sana hii, ina hangaika sana na mwili kuliko roho. Nawapenda sana Buddhists, wako very spiritual.

Sio kuwazawaza wanawake 72 na pombe tamu
DUNIA KWA SASA IMEJAA WAISIHARAMU TU NA SALAMU YAO NI HII "HARAMU ALAKUM ..kisha unajibu ..ALAIKUM MUHARAMU.
 
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio yale yale.
---

Njia ya mavazi ya Waislamu imesababisha sana katika miaka ya hivi karibuni, na vikundi vingine vinasema kuwa vikwazo vya mavazi hupunguza au kudhibiti, hasa kwa wanawake. Baadhi ya nchi za Ulaya wamejaribu hata kuharibu mambo fulani ya mila ya Kiislam, kama vile kufunika uso kwa umma. Ugomvi huu unatoka kwa kiasi kikubwa kutokana na udanganyifu kuhusu sababu za sheria za Kiislam.

Kwa kweli, njia ambayo Waislamu huvaa ni kweli inaendeshwa kwa unyenyekevu rahisi na tamaa ya si kutekeleza tahadhari ya mtu kwa namna yoyote. Kwa kawaida Waislamu hawapendi vikwazo vinavyowekwa kwenye mavazi yao na dini yao na wengi wanaiona kama taarifa ya kiburi ya imani yao.

Uislamu hutoa mwongozo juu ya nyanja zote za maisha, ikiwa ni pamoja na masuala ya ustahili wa umma. Ijapokuwa Uislamu hauna kiwango cha kudumu kama mtindo wa mavazi au aina ya nguo ambazo Waislamu wanapaswa kuvaa, kuna baadhi ya mahitaji ya chini ambayo lazima yatimizwe.

Dini ya watu wasiojitambua.
 
Ahsante ndugu yangu kwa kutoa ushahidi wa maandishi.Ni hivyi hapa anaongelea thigh ambapo ni mapaja sio magoti.Muislam kujisetiri wakati wa swala ndio anatakiwa afunike kuanzia kitovuni hadi magotini.Tofautisha wakati wa swala na kuwa mtaani au kwenye michezo

Hapo haijasema kwenye swala tu, pia unawezaje kujisitiri magoti na iwe sawa kuonekana mapaja, halafu sio andiko moja tu, kuna mengine haya

Back
Top Bottom