sheria

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

    SHERIA YA PASU KWA PASU IFUTWE KWA HOJA ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Kwa Dunia ya Haki Sawa hiyo sheria haijakaa vizuri Kabisa, Kwa Dunia hii yenye utapeli, dhulma, ubinafsi na Unyonyaji; sheria hiyo ipo haja ya kuipitia vinginevyo kizazi kijacho kitajikuta katika mazingira magumu sana...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Samia afute Sheria zote, zilizopitishwa katika utawala wa awamu ya 5, zilizotaka kuiua Demokrasia yetu

    Ni dhahiri kuwa Kwa Kila mpenda Demokrasia hapa nchini, anapaswa ampongeze Kwa dhati, Rais Samia Kwa hatua alizochukua za kishujaa za kufutilia Kwa mbali zuio haramu, lililokuwa limewekwa na mtangulizi wake, mtawala wa awamu ya 5. Mwendazake Magufuli, za kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya...
  3. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Hii sheria imewekwa na nani na kwa faida ya nani?

    Ni Jumamosi nyingine ya mwisho wa mwezi, kama kawaida kila mfanyabiashara yuko nje ya ofisi yake akisubiri saa inne ifike ndio afungue biashara yake, vinginevyo apambane na mkono wa sheria. Hivi huu utumwa ni nani ameuleta? Kiasi cha kuogopwa hivi? Ipo kisheria kwenye katiba? Mwisho wa siku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  5. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  6. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Umiliki silaha kinyume na sheria

    Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria? Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Sheria 3 za fedha zisizofundishwa shuleni

    Hizi ni baadhi ya sheria nilizojifunza ambazo naamini na wewe zitakusaidia. Ikiwa unatamani kuishi maisha ya majuto au umaskini, basi zipuuzie sheria hizi. 1. Sheria ya kutengeneza fedha. Inawezekana ukalichulia kwa ukubwa jambo hili, ila suala la kutengeneza fedha ana maana kuwa UTALIPWA...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sierra Leonne yapitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kuajiri wanawake kwa % 30

    Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia katika jamii inayopendelea wanaume. Rais Julius Maada Bio alisaini mswada huo kuwa sheria...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asigombee tena Urais, aende bungeni akatusaidie kutafsiri sheria!

    Kwa sasa vyama vya siasa vinatakiwa kuelekeza nguvu zao bungeni sio kung'ang'ania kwenda Ikulu. Huko hakufikiki kama hatujawekeza nguvu zetu kukamata majimbo, Tundu Lissu aachane na mambo ya urais kwa sasa aelekeze nguvu zake bungeni.
  11. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania TAMWA-Zanzibar yataka mabadiliko ya haraka sheria za habari Zanzibar

    ZANZIBAR CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Sheria itungwe watu wote wanaotumia Tecno, Infinix na Itel wawe wahujumu uchumi

    Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 961 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Faini imetolewa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Mitandao ya #Facebook na #Instagram iliyobainika kulazimisha watumiaji wa Nchi za EU kupokea matangazo yanayoendana na wanachokifanya Mitandaoni. Uamuzi huo wa Nchi 27 zenye watu karibu milioni 450, ni utekelezaji wa Sheria ya...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Serikali mmetunga sheria kuwasamehe kodi wawekezaji wakubwa sasa mnahangaika na watu masikini

    Mwezi Septemba 2022 Bunge lilipitisha Sheria ya kuwasamehe kodi wawekezaji wakubwa na wabunge walishangilia sana Sheria hiyo kupita. Leo TRA inashindwa kukusanya kodi kwa wawekezaji wakubwa kwa sababu tayari Mwigulu Nchemba ameshapitisha sheria yake bungeni ya kuwasamehe kodi sasa wanahangaika...
  18. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Hivi sheria inaweza kutolewa onyo kabla ya mkondo kufuatwa?

    Rais na Makamu wake wametoa agizo na ilani kwamba wale wote wanaofanya shughuli zinazoharibu maeneo oevu kama bonde la Ruaha, Usangi na Ihefu waache mora moja vinginevyo sheria itachukua mkondo wake. LAKINI mama aliyeshitakiwa jana kwa kutoomba risiti dukani hakuambiwa aache tabia hiyo mara...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Course ya Sheria ni nzuri kwa aliyepata div 1 point 6 HKL?

    Na ndugu yangu kapata 1 .6, amesoma taasusi ya HKL, ana mpango wa kusoma UDS sheria. Naomba ushauri wakuu, halafu ukicheki ana aibu sana.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Back
Top Bottom