Hivi hii Sheria ya Marubani wa Ndege na Manahodha wa Meli bado inafanyika hadi hivi leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
49,258
86,066
Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji.

Nayasubiri majibu yenu juu ya hili ili niliunganishe na la mahala fulani kisha nipime muda wa tukio na harakati zake kisha taratibu nianze Kujiandaa kwenda Msibani eneo moja Wilaya ya Kinondoni.
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom