Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

Oct 26, 2021
98
287
Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini.

1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.

3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung

4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE"

5. Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko yote dunia nzima, unabeba watu 150000

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7. Kunyoa Nywele, una option ya kuchagua kati ya style 28 zilizopitishwa kitaifa nje ya hapo ni kosa kisheria.

8: Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea Kusini wawili tu ndio wamerudi Korea Kaskazini.

9: Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS

10: Kumiliki BIBILIA,Kuangalia Movie au tamthilia za Korea Kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

11: Ni wanajeshi na viongozi wa Serikali tu ambao wanaruhusiwa kumiliki gari.

12: Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans Korea Kaskazini

13: Wanafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano ila sanduku la kura ni moja tu na mgombea ni mmoja.

14: Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

15: Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

16: Kama umezaliwa tarehe 8 July au tarehe 17 December huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

17: Wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wana akili sana/geneus kama jeshi la kimtandao, Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Kulingana na vyombo vya Magharibi.
 
SHERIA 6 ZA KOREA KASKAZINI KAMA ZIKILETWA TANZANIA ITAKUWA KILA KONA CCM YATUNYANYASA
πŸ˜‚
πŸ˜‚
πŸ˜‚
πŸ˜‚
πŸ˜‚
πŸ˜‚

1. Style ya kunyoa nywele inachaguliwa na Serikali

Hiki kinaweza kuwa ni kitu cha kushangaza sana lakini ni kweli mwaka 2013 serikali ya Korea Kaskazini ilianzisha sheria ambayo inaipa mamlaka ya kuchagulia raia wake Style za nywele ambapo 18 kwa wanawake na 10 kwa wanaume cha kushangaza zaidi style ya nywele ya Rais wa nchi hiyo Kim Jung Un haipo kwenye list iliyotolewa.

2: Serikali huchagua watu maalum wa kuishi ndani ya mji Mkuu.
Korea Kaskazini ni watu maalum waliochaguliwa na serikali ndio wanaruhusiwa kuishi ndani ya mji mkuu wa nchi hiyo, ni kosa kisheria kwa mtu kuingia mjini Pyongyang bila kibali maalum cha kuingia katika mji huo.Watu wenye mafanikio na wenye utii kwa serikali ndo huruhusiwa kuishi katika mji mkuu.

3: Ni lazima watu kupiga kura.
Kwa kawaida kupiga kura ni jambo la hiari nchi zote duniani lakini ukiwa Korea Kaskazini ni lazima upige kura, nchi hiyo hufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano lakini cha kushangaza hakuna mgombea aliyewahi kujitokeza kushindana na Kim kwenye uchaguzi mkuu.

4: Ni lazima kuangalia TV ya Taifa.
Wananchi wa Korea Kaskazini huruhusiwa kuangalia channel tatu pekee ni kosa la kisheria kuangalia program za Tv kutoka nchi zingine hasa Marekani na ni lazima wananchi kuangalia Televisheni ya Taifa kujua kinachoendelea nchini mwao.

5: Wananchi hawaruhusiwi kumiliki bibilia.
Ukiwa Korea Kaskazini ni kosa kisheria kumiliki bibilia au kuamini katika ukristo, serikali ya nchi hiyo inaamini kwamba ukristo ni dini ya nchi za magharibi hivyo serikali ndio taasisi inayotakiwa kuabudiwa na wananchi wa nchi hiyo.

6: Ukitoroka jela wanaoadhibiwa ni familia yako.
Ukitoroka jela Korea Kaskazini wanaoadhibiwa ni familia yako mpaka kizazi cha tatu yaani kuanzia wewe,watoto utakaowazaa na wajukuu zako, sheria hii iliwekwa ili kuzuia watu kutoroka jela licha ya kuwa ilipingwa vikali na umoja wa kimataifa (UN).
 
SHERIA 6 ZA KOREA KASKAZINI KAMA ZIKILETWA TANZANIA ITAKUWA KILA KONA CCM YATUNYANYASA
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

5 masheikh wakaubir huko dini ya mnyaz mung , maana hawajawekwa kweny kifungu
 
Kama Kim Jong ataishi milele basi huo utawala wa kijuha utaendelea , Ila kama na yeye one day atakufa ndo itakuwa mwisho wa huo upumbavu ... Kiongozi atakayefata atabadili kila kitu....!!!
 
Ile nchi inaandaa viongozi ndugu hawaokotezi kama vile nyie mnaokoteza huku mtaani matokeo mmekua mkiajiri mapanya buku

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Wameshakufa viongozi wao wawili wenye nguvu; na utawala wa hiyo familia, umebakia pale pale! Hivyo acha kuota ndoto ya mchana ndugu mkurugenzi.
Huyu jamaa atakuwa wa mwisho, tuombe uzima, nchi nyingi zishajarbu Korea sio wa Kwanza , ni suala la mda tuu
 
SHERIA 6 ZA KOREA KASKAZINI KAMA ZIKILETWA TANZANIA ITAKUWA KILA KONA CCM YATUNYANYASA
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

1. Style ya kunyoa nywele inachaguliwa na Serikali

Hiki kinaweza kuwa ni kitu cha kushangaza sana lakini ni kweli mwaka 2013 serikali ya Korea Kaskazini ilianzisha sheria ambayo inaipa mamlaka ya kuchagulia raia wake Style za nywele ambapo 18 kwa wanawake na 10 kwa wanaume cha kushangaza zaidi style ya nywele ya Rais wa nchi hiyo Kim Jung Un haipo kwenye list iliyotolewa.

2: Serikali huchagua watu maalum wa kuishi ndani ya mji Mkuu.
Korea Kaskazini ni watu maalum waliochaguliwa na serikali ndio wanaruhusiwa kuishi ndani ya mji mkuu wa nchi hiyo, ni kosa kisheria kwa mtu kuingia mjini Pyongyang bila kibali maalum cha kuingia katika mji huo.Watu wenye mafanikio na wenye utii kwa serikali ndo huruhusiwa kuishi katika mji mkuu.

3: Ni lazima watu kupiga kura.
Kwa kawaida kupiga kura ni jambo la hiari nchi zote duniani lakini ukiwa Korea Kaskazini ni lazima upige kura, nchi hiyo hufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano lakini cha kushangaza hakuna mgombea aliyewahi kujitokeza kushindana na Kim kwenye uchaguzi mkuu.

4: Ni lazima kuangalia TV ya Taifa.
Wananchi wa Korea Kaskazini huruhusiwa kuangalia channel tatu pekee ni kosa la kisheria kuangalia program za Tv kutoka nchi zingine hasa Marekani na ni lazima wananchi kuangalia Televisheni ya Taifa kujua kinachoendelea nchini mwao.

5: Wananchi hawaruhusiwi kumiliki bibilia.
Ukiwa Korea Kaskazini ni kosa kisheria kumiliki bibilia au kuamini katika ukristo, serikali ya nchi hiyo inaamini kwamba ukristo ni dini ya nchi za magharibi hivyo serikali ndio taasisi inayotakiwa kuabudiwa na wananchi wa nchi hiyo.

6: Ukitoroka jela wanaoadhibiwa ni familia yako.
Ukitoroka jela Korea Kaskazini wanaoadhibiwa ni familia yako mpaka kizazi cha tatu yaani kuanzia wewe,watoto utakaowazaa na wajukuu zako, sheria hii iliwekwa ili kuzuia watu kutoroka jela licha ya kuwa ilipingwa vikali na umoja wa kimataifa (UN).
Kama ni kweli basi North Korea ndio jehanamu ni vile hatujui tu.
 
Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini.

1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.

3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung

4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE"

5. Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko yote dunia nzima, unabeba watu 150000

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7. Kunyoa Nywele, una option ya kuchagua kati ya style 28 zilizopitishwa kitaifa nje ya hapo ni kosa kisheria.

8: Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea Kusini wawili tu ndio wamerudi Korea Kaskazini.

9: Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS

10: Kumiliki BIBILIA,Kuangalia Movie au tamthilia za Korea Kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

11: Ni wanajeshi na viongozi wa Serikali tu ambao wanaruhusiwa kumiliki gari.

12: Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans Korea Kaskazini

13: Wanafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano ila sanduku la kura ni moja tu na mgombea ni mmoja.

14: Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

15: Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

16: Kama umezaliwa tarehe 8 July au tarehe 17 December huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

17: Wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wana akili sana/geneus kama jeshi la kimtandao, Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Kulingana na vyombo vya Magharibi.
Chillah huyu Jamaa Kaandika baadhi ila mengi si kweli ukweli halisi ni hapa chini πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Back
Top Bottom