sheria

  1. JamiiForums Tanzania Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

    Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka? Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
  2. JamiiForums Tanzania Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

    Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia?

    Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Upandaji Mazao Hifadhini ni Ukiukwaji wa Sheria

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo sheria itachukua mkondo wake Ameyasema hayo leo...
  5. JamiiForums Tanzania Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  6. JamiiForums Tanzania Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na kutoka damu. 4. Mechi itaisha kama kila mchezaji atakua amechoka. 5. Hakuna free kick, kitu kama...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro akiri utekelezaji wa Sheria ya 'Plea Bargain' ulikuwa na mapungufu

    Waziri wa Sheria na Katiba, Damas Ndumbaro amesema utekelezaji wa Sheria ya Makubaliano ya Kukiri Makosa kwa Watuhumiwa katika kipindi kilichopita ulikuwa na makosa ikiwemo Mkurugenzi wa Mashtaka (DDP) kuhodhi mamlaka yote ya kesi. Ndumbaro amesema mapungufu mengine ni sheria kutomwangalia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

    TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu. Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
  10. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

    Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway. Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours. Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  13. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
  15. JamiiForums Tanzania Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  16. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama na mifumo ya sheria inaturudisha nyuma kwenye maendeleo

    Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma. Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yalaumiwa kuingilia mambo ya ndani kwa kupinga sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ya Uganda

    Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au faini. Mswada huo umepingwa vikali na nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani, na Marekani kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sheria ya dhamana yakosolewa na Tume ya Hakijinai

    Wakili wa Kujitegemea Zadock Magai amependekeza marekebisho kwenye Kifungu cha 148(4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ili kuipa mahakama mamlaka ya kuamua kutoa au kutokutoa dhamana kwa mshtakiwa. Wakili Magai ametoa mapendekezo hayo katika Tume ya Hakijinai iliyoundwa na Rais Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50. Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaounga ushoga sheria ya kuwafunga kifungo cha maisha ipo toka 1954

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…