Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka?

Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua Ubingwa. Wakati wengine wakivuliwa Ubingwa.

Ukiwa unajichukulia sheria unakuwa na demu yoyote umtakaye duniani. Bila gharama hata kidogo. Tena ni salama hupigwi mizinga n.k ila kumbuka too much is harmful.

Vijana kwa sasa wengi wanakwambia tunacheza kama maradonna tu na maisha yanaenda bila kuwa na kasi kubwa sana. Kwenu wazee wa kujichukulia sheria mkononi.
 
Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka...
sasa kama hata mwaka Diego Maradona alifunga goli la mkono unaweza kutoa ushauri wowote kweli? Hauko serious
 
sasa kama hata mwaka Diego Maradona alifunga goli la mkono unaweza kutoa ushauri wowote kweli? Hauko serious
Nadhani hata ukisoma ulichoandika wewe mwenyewe huwezi elewa. Kwa style hii kweli naweza kukupa ushauri? Haupo serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom