Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,268
5,367
Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari.

Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya Nchi, pia sehemu ya adhabu ni kufunguliwa mashtaka ya jinai pamoja na faini ya hadi Dola 15,000 (Tsh. Milioni 35).

Mahakama inapewa uwezo wa kuwalazimisha waandishi wa habari kufichua vyanzo vyao n ani marufuku kwa raia wa Nchi mbili kumiliki hata sehemu ya chombo chochote cha habari, pia wanahabari wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya kigeni bila kibali wanaweza kutozwa faini ya Dola 7,600 (Tsh. Milioni 18)

==================

Algeria Passes Law Further Curbing Press Freedom

Algeria's parliament on Thursday passed a law further restricting press freedom in the North African country by tightening media ownership rules and preventing journalists from protecting sources.
The law bans domestic media outlets from receiving funding or "direct and indirect material aid" from abroad, under threat of criminal prosecution including fines of up to roughly $15,000 (Ksh. 2 million).

It holds that "professional secrecy is a right", but allows courts to force journalists to reveal their sources.

Algeria ranks 134th out of 180 countries and territories on Reporters Without Borders' 2022 World Press Freedom Index.

It also bans dual nationals from owning all or part of media outlets, and journalists working for foreign media organisations without accreditation could be fined almost $7,600 (Ksh. 1 million).

Cherif Driss, a political science professor at the University of Algiers, said examining the bills' "accompanying legal documents" would be key to finding out "whether this is really a new law or reproduces the old one".

He said Algeria often delays the publication of subsidiary legislation that clarifies new laws, something members of parliament have also criticised.

Earlier this month an Algiers court sentenced prominent journalist Ihsane El Kadi to three years in prison for "foreign financing of his business" in a case denounced by rights groups.

Source: Digital Citizen
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom