sheria

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Agizo la Rais kwa TRA kutofungia Biashara liingie kwenye Sheria ya Fedha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye muswaada wa marekebisho sheria ya fedha 2023 tusaidie

    Msaada tutani wadau mwenye huo mswaada ambao Bunge limeomba wadau kutoa maoni kuhusu marekebisho hayo
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

    Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa waliotunga sheria Hii; Kama Rais ni mzalendo na muadilifu ni sababu gani ikawepo kinga ya kutoshtakiwa?

    KWA WALIOTUNGA SHERIA HII; KAMA RAIS NI MZALENDO NA MUADILIFU NI SABABU GANI IKAWEPO KINGA YA KUTOSHTAKIWA? Anaandika, Robert Heriel Moja ya sheria inayonifanya nione nchi yetu bado hatuko serious ni sheria inayomkingia Kifua Rais KUTOSHTAKIWA. Kwa kweli sheria Hii sio tuu ni ya ajabu Bali ni...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Sheria ya Ulinzi wa taarifa Binafsi na Kanuni zake vipo tayari kwa matumizi

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 51 leo Juni 20, 2023. Serikali imekamilisha utungaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na imeanza kutumika tangu Mei 1, 2023. Kuhusu kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zilisainiwa Mei 6, 2023 na Waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

    Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi wetu wa sheria wamepitwaje na jambo hili la msingi kiasi cha kutumia vigezo vya mkataba kuhukumu...
  9. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  13. JamiiForums Tanzania Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

    Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa. Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
  14. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

    Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Tuboreshe mfumo wa Sheria na haki nchini Tanzania

    Katika kuboresha uwanda wa sheria na haki nchini Tanzania, kuna mawazo na mapendekezo muhimu ambayo yanaweza kuchukuliwa ili kuimarisha mfumo wa kisheria na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Hapa chini nimeorodhesha baadhi ya mawazo hayo: 1. Kuboresha upatikanaji wa haki: Ni muhimu...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora: Mabadiliko yanayohitajika Tanzania

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

    Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza. Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA. Kila mtu sasa ni; Yanga Medali za wachezaji Fainali Tukio la kuitwa Ikulu Mabishano yasiyo na tija...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…