Zingatia Sheria Hizi Wakati Unamtongoza Mwanamke.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
657
Kutongoza ni mchakato.
Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake.
Kutongoza kunachukua muda.
Kutongoza hakuishi.
Kumtongoza mwanamke ni sehemu ya maisha yako.
Kwenye muda wa huo mchakato, fuata haya.
.
Usimweke kama ndo kitu pekee maishani mwako.
Tanguliza malengo yako kabla ya mwanamke.
Tanguliza familia yako kabla ya mwanamke.
Tanguliza amani yako kabla ya mwanamke.
Mwanamke asiwe chanzo cha furaha yako. Usijiwekee kwamba ukimpata mwanamke mambo yako ndo yatakaa sawa. Hapana. We tengeneza maisha yako na ufurahie maisha yako, alafu mwanamke awe kama sehemu ya maisha yako, sehemu ya furaha yako.
.
Usiseme nakupenda haraka.
Mwache mwanamke naye ajithibitishe.
Mwache mwanamke apambanie nakupenda yako. Usimrahisishie kazi kiasi kwamba akakuona we ni mrahisi.

Tambua kuwa mwanamke anapenda apate changamoto kwenye kumpata mwanaume. Hata wao wenyewe hawataki mambo yawe rahisi. Ndo mana kuna muda atakuzungusha. Kwake yote hayo ni raha.

Sasa ili umfanye ajisikie raha zaidi kwenye mchakato, usimwambie nakupenda hadi ye mwenyewe ajithibitishe. Hadi yeye akuambie hivyo.

Ila unaweza kuwa unamsifia vile anakufanya ujisikie.
.
Mwache aendelee kuwa na maswali juu yako.
Hata akikupenda, usiache kumfanya aendelee kuotea kuhusu upendo wako kwake.
Usimpe uhakika sana. Usimfanye azoee au akuzoee sana.
Kuna muda mwanamke anakuuliza maswali ambayo kiukweli wala hahitaji majibu yake. Yakwepe, mchombeze au badili mada na usiyajali.

Mwache aotee vitu kuhusu wewe.
We endelea kufurahi naye. Mchukulie kama mdogo wako wa kike mdogo anavyokuuliza maswali yasiyo na msingi.
Mwanamke anafurahi pale anapootea vitu kuhusu wewe. Pale anapojitahidi kukujua zaidi lakini we unampeleka taratibu.

Lakini usifanye hilo kwenye upande wa fedha na familia, upande huo mpe majibu ya kueleweka na mfanye ajisikie amani kwamba familia na uchumi wenu upo salama.
.
Usifuate sheria zake.
Mwanamke anakuambia ili nikupende ninunulie hiki.
Au chochote cha kumaanisha kuwa yeye ndo mwenye maamuzi. Usifuate. Kama hawezi fuata sheria zako achana naye, tafuta ambaye atakua tayari kuwa chini ya sheria zako.

Ukimruhusu akufanyie hivyo, atakuchukia. Hatokupa penzi lake lote kwa moyo. Hatokuamini kama unaweza kuhimili mudi zake tofauti tofauti.

Kuwa na msimamo na ujasiri.
Jiamini na mfanye mwanamke ajiamini chini ya sheria zako na akubali kuongozwa nawe.
.
Omba msamaha pale ambapo kweli ni lazima.
Usiwe mtu wa kuomba omba msamaha.
Sio kila kosa la kuomba msamaha, na sio kila lalamishi la mwanamke ni kosa. Kuomba omba msamaha ni jadi ya wanawake. Waachie hilo wao, we ukifanya hivyo atajiona yupo na mwanamke mwenzie.

Pia tambua, ukiomba msamaha kwa hili, mwanamke atakutaka uombe msamaha kwa kingine, na kingine, na kingine mpaka unajikuta kazi yako ni kuomba msamaha.

Ila kama umekosea, kuna maneno mazuri ya kutumia kuonesha unaomba msamaha. Mfano,
“mpenzi hata mimi najisikia vibaya nimekufanyia …” au
“apo makosa yamefanyika kweli, nimeona makosa ni … nitayafanyia kazi mke wangu” au
“pole mpenzi umejisikia vibaya kwa kuwa nimekufanyia …. nitaacha/ sitofanya” au
“mpenzi nimekuelewa umejisikia vibaya kwa kuwa nimekupotezea, ila saivi ntatenga muda zaidi kwa ajili yetu pamoja”.

Kuliko kusema “naomba nisamehe/ naomba msamaha kwa …” kila muda. Yatumie maneno hayo pale ambapo kweli yanahitajika. Vinginevyo jiepushe nayo.
.
Kuwa naye karibu kihisia.
Mwanamke ana hisia sana kuliko wewe.
Nawe jiruhusu kuonesha hisia zako mbele yake. Japo sio sana kama yeye.
Mfanye acheke. Mchombeze. Tengeneza naye kumbukumbu tofauti za sehemu tofauti. Fanya naye mapenzi vizuri. Fanya naye kama vile ndo mara ya mwisho mnafanya.
.
Achana na uzuri wake wa nje.
Zamani nilikua najaji mwanamke kwa uzuri wake wa nje.
Hata kabla mwanamke hajafungua mdogo najikuta nimependa. Ilinipa shida. Nilijikuta namweka mwanamke juu sana kuliko thamani yake halisi.
Namsifia kwa alivyo nje mno.
Niliwaona warembo malaika.
Na kama ujuavyo, huwezi mpata mwanamke unayemweka juu sana/ unayemtukuza.
Na kutongoza inakua ngumu.
Kilichonisaidia kubadilika ni kutafuta kasoro kwenye uzuri wao. Sio kwa lengo baya. Ila kwa lengo la kuwaona nao ni watu wa kawaida tu.

Mfano, anapua nene, masikio yake makubwa au ana chunusi sana.
Baada ya kuwaona ni mtu wa kawaida, nikaanza kuwasikiliza.
Kuwasikiliza ili nijue uzuri wao wa ndani upoje.
Baada ya kupitia hayo sikupata shida na nikajifunza. Nikajifunza kuwa wanawake wengi wanatamani kumpata mwanaume ambaye atamjali uzuri wake wa ndani/ utu wake. Zaidi ya urembo wa nje.

Japo wanaweka nguvu zao kujiremba ili kutuvutia lakini usisahau, wanataka kujuliwa kiundani zaidi.
Hivyo ni heri kuweka nguvu zako kumjua mwanamke kiundani na kumsifia kuhusu utu wake kuliko kumsifia alivyo mzuri nje.

Kumbuka kuwa amesifiwa na bibi yake, mama yake na shangazi yake, kuwa ana sura nzuri tangu yupo darasa la tatu uko. Na kuna watu mtandaoni wanamsifia hivyo hivyo. Wewe ukimsifia ivo atakuchukulia kama hao wengine tu.

Jitofautishe kwa kumjua kiundani na kumsifia kwa utu wake.
Ukitangulia kwa kumwambia “mamy kuna kitu nimegundua kuhusu wewe” mwache akuulize ni nini kisha msifie.
.
Usiogope kumpoteza.
Ukiogopa kumpoteza mwanamke utajikuta unavunja mipaka yako na kuingia kwenye sheria zake.

Jambo litakalomfanya akushushe thamani zaidi.
Ndio maana ni muhimu ujitegemee kiupendo na furaha yako. Mwanamke awe kama sehemu ya maisha yako na sio maisha yako.

Na kama upo na mwanamke lakini unaogopa kumpoteza ujue humtendei haki.
Woga unaua upendo.

Pia uoga huo waachie wanawake. Wewe kuwa jasiri na jiamini.

Katika kuzingatia yote hayo kumbuka wewe ni mwamba wake. Hautayumbishwa na lalamiko, shawishi, vilio, wala chombezo zake ili kuvunja misingi yako. Jiamini kupitiliza kwenye misingi yako. Na usijali sana kuhusu maneno yake we angalia vitendo vyake.

Nikutakie weekend njema. Na maandalizi mema ya wiki ijayo.
 
Kamanda kiumbe alizingua paradiso bustani ya Eden, kiumbe alieumbwa wakati mwanaume kalala usingizi, kiumbe mwenye tabia ya kujivua gamba kwa mfumo wa hedhi kamq nyoka 5days, kiumbe ambae ana siku 20 Hadi 21 za kutojisikia nyege au hisia za mapenzi, mwenye kiungo ambacho wanaita pesa, ofisi, duka.
just kick and fafafaaaa.....aaakiiiimoooo.

Uko sahihi sana!
 
Kutongoza ng'ombe mmoja nitumie tahadhari zote hizo.

Hawa viumbe hawana formula xha msingi ni kutokurupuka ktk mawindo.

Piga tembea
 
Kamanda kiumbe alizingua paradiso bustani ya Eden, kiumbe alieumbwa wakati mwanaume kalala usingizi, kiumbe mwenye tabia ya kujivua gamba kwa mfumo wa hedhi kamq nyoka 5days, kiumbe ambae ana siku 20 Hadi 21 za kutojisikia nyege au hisia za mapenzi, mwenye kiungo ambacho wanaita pesa, ofisi, duka.
just kick and fafafaaaa.....aaakiiiimoooo.
Kwani shida nini kamanda?
 
Havina formula hivi. Kitu cha kuzingatia tu ni ukishapiga attempts mbili tatu haelekei temana nae usipoteza muda. Unavitu vingi vya kufanya King.
 
Back
Top Bottom