sheria

  1. JamiiForums Tanzania Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  3. JamiiForums Tanzania Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

    Abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya wametakiwa kupaza sauti kwa madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yamesemwa Disemba 21, 2023 na Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu...
  4. JamiiForums Tanzania CCM yavunja Katiba na Sheria ya chaguzi kuokoteza Watoto wa Watawala na Kuwafanya Watawala Wajao!

    Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b).. Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha 6C kimeweka masharti ya mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa, na mojawapo ni umri usio chini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zimeweka utaratibu wa kumalizana nje ya Mahakama kwa kila upande kupata stahiki sahihi

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akiwa kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ameeleza kuwa Kanuni ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - "Kanuni Za Taratibu Za Kushughulikia Malalamiko ya Ukiukwaji Wa Misingi ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi" zimeeleza namna ambavyo watu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama makanisa mengi hayafati sheria za agano la kale ni kwanini wanazifata amri 10 za agano la kale

    Kuna sheria kibao ambazo ziliwekwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe moja kwa moja kwenye agano la kale. Sheria za wanyama wa kula alituamuru tusile nzi, vinyonga, punda, mbwa, paka, pweza, popo, nguruwe, nyani, mbu, n.k. Sheria za mavazi alituamuru tuvae mavazi ya kusitiri, wanawake wasivae suruali...
  9. JamiiForums Tanzania MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  10. JamiiForums Tanzania Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria, Haki, na Wajibu. Kuwaelimisha Watanzania Wajue Haki zao na Kutimiza Wajibu Wao

    Wanabodi Japo hili ni Jukwaa la Siasa,hii ni mada ya kisiasa kisheria,hivyo naomba nianze kwa kujijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nikiandikia makala magazeti mawili kila wiki, gazeti la Mmwananchi kila Jumatano...
  11. JamiiForums Tanzania Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

    Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi sheria ya offside haiwezi kufutwa?

    Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini? Na msingi wa hii sheria ni nini? Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
  13. JamiiForums Tanzania Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza kutungwe Sheria Kali ya Kunyongwa hadharani Viongozi Waandamizi Wanaowadanganya wazi wazi Watanzania

    Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Kusudio la kuifikisha TANESCO katika vyombo vya sheria

    Nadhani muda umefika tufikishane kwenye vyombo vya sheria. Hii migao ya umeme haijaanza leo. Hili tatizo lipo kila mwaka na sababu zinazotolewaga ni zile zile. Kusudio langu halihusu kuhoji uhalali wa mgao bali taratibu zinazotumika kuendesha mgao wenyewe. Hatua hii itajikita kuwahoji na...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau wa Haki za Binadamu wazungumzia Umuhimu wa Utawala Bora wa Sheria

    WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

    Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul. Cc. Mbunge Mstaafu,
  20. JamiiForums Tanzania Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

    Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao Ndoa sio kifungo kwenye uislamu Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…