sheria

  1. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria inazuia kumtaja kwa jina, makazi au anwani ya mtu aliyetoa taarifa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU. Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

    Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?

    Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili? Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Tausi Kida: Serikali inaboresha Sera na Sheria kuondoa vikwazo kwa wawekezaji

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho makubwa ya Kisera na Kisheria ili kujenga mazingira mazuri ya kuvutia uwekezaji nchini. Dkt. Kida, amesema hayo leo Februari 26, 2024 Jijini Dar es Salaam alipofanya kikao na Joy Basu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, sheria zikisimamiwa ipasavyo Watanzania wengi watapona haswa kwenye unyanyasi wa kingono?

    Habari wanajf Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema, je ni kweli kibongo bongo wengi watapona? Tukichukulia mfano kilichomkuta huyo jamaa hapo chini ,sina hakika kama ni kweli hizo shutuma ila walianza kumuandama siku nyingi sana tangu akiwa Barcelona,natumai washapata ushahidi wa kutosha...
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  13. JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa alichokuwa nacho mzee wake ni 'Loyalty' akiita kama 'kufa na mtu wako' kwani katika historia yake ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania inakabiliwa na Sheria iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha

    Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania Inakabiliwa na Sheria Iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha "Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovoti 400. Mheshimiwa Spika, mradi huu unahusisha kandarasi tatu ambazo ni ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Sheria za kikristo zinaweza kumsaidia mwanaume anayehitaji watoto bila kuchepuka baada ya kuoa mke aliethibitishwa hawezi kuzaa?

    Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika. Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi

    Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa: 1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja 2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

    Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake. Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…