sheria

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja akitumia neno kafiri katika nyumba ya ibada hapa Mwanza. Pamoja na kwamba tunashirikiana naye kwenye imani na kwamba neno Kafiri limekuwa likitumika sana ila kwa tamaduni zetu Tanzania neno hili lina ukakasi mkubwa hasa katika matamshi ya kiswahili. Ni neno lakukwaza...
  2. JamiiForums Tanzania Gongo la Mboto 2025: CHADEMA wadai mambo 2 tu kwenye Sheria ya Uchaguzi

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kiongozi wa juu akiwa mahututi? Je, familia inaweza kumzuia nyumbani?

    Suali hilo limenijia baada ya mkuu wa majeshi mstaafu, Captain Mabeyo aweke wazi hali ilivyokuwa kabla na baada ya kifo cha raisi wa awamu ya 5, John Pombe Magufuli. Sehemu iliyonipa hisia ni pale ambapo Serikali kupitia vyombo vya usalama viliona visitangaze kifo chake kabla ya familia yake...
  4. JamiiForums Tanzania Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

    Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5 Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu. Uchaguzi wake wa jina hilo bila...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA (Vizazi na Vifo) na Ofisi za Uhamiaji - Tanga, simamieni taratibu na sheria muache kuomba rushwa. Mnaharibu na kudalilisha Taasisi

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha.. Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sheria inasema " Pesa za noti zote zihifidhiwe kwenye waleti wakati wa kuzibeba au kusafili"

    Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na adhabu mi miaka kumi jela. Siku BOT ikianzq kufatilia msiseme sikuwaambia. Hii hata pascal mayala hajui
  8. J

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapungufu kwenye Sheria inaweza kuwa ni Lugha iliyotumika

    Mapungufu katika Sheria yanaweza kuwa ni Lugha ambayo imetumika ikiwa haijulikani kwa Raia wengi na hivyo kusababisha tafsiri tofauti, au utata katika Utekelezaji wake. Pia, Utekelezaji wake kuwa na mwelekeo wa upendeleo au ubaguzi dhidi ya makundi fulani ya Watu, ikisababisha kutokuwa na Usawa...
  9. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea iwapo uko mbele ya hakimu aliyekushuhudia ukivunja sheria, ila ushahidi aliyoletewa kwa ajili ya kukuhukumu unaonesha hauna hatia?

    Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
  10. JamiiForums Tanzania Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  11. JamiiForums Tanzania Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  12. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hatuna utawala wa sheria tuna watawala wa sheria

    WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria. Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Tunapoandamana kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi muwe mnaelewa

    Huyu hapa ni miongoni mwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Tanzania , sasa hata kama wewe ni kipofu wa Ubongo unadhani huyu anaweza kutenda haki yoyote ? Ndio maana Chadema na Wapenda haki wengine wameamua kukinukisha kwa wiki nzima Nchi nzima na Duniani kote . Hifadhi tarehe hii .
  17. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  18. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika. Macron amesema "Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…