Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Nimemsikia mwanasiasa mmoja akitumia neno kafiri katika nyumba ya ibada hapa Mwanza. Pamoja na kwamba tunashirikiana naye kwenye imani na kwamba neno Kafiri limekuwa likitumika sana ila kwa tamaduni zetu Tanzania neno hili lina ukakasi mkubwa hasa katika matamshi ya kiswahili.
Ni neno lakukwaza na linalohubiri utengamano. Ni neno linalotumiwa sana na magaidi wanapotaka kutekeleza ukatili wao. Ni neno lisilovumilika kwa tamaduni na ni neno lisilo na star. Sidhani kama kiongozi wa nchi anaweza kulitumia kwenye hotuba yake.
Kwa kuwa neno lakukwaza nimetamani kufahamu kama kuna sheria inakataza binadamu kuitwa Kafiri Tanzania na kama hakuna hatuoni kama ni muda muafaka kuiweka?
Sheria ya nchi inasema binadamu wote ni sawa; je kumuita mwenzako Kafiri nje ya nyumba za ibada ni sahihi? Ndani ya nyumba ya ibada sawa.
Kuna clip pia inasambaa YouTube nimeona mtoa mawaidha somewhere akilitumia sana hili neno tena akiwatuhumu walioandaa iftar ikulu kama makafiri au walishirikiana na makafiri. Haya maneno yametoka nje huko je tunaweza kuyatumia?