JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 626
- 938
Mapungufu katika Sheria yanaweza kuwa ni Lugha ambayo imetumika ikiwa haijulikani kwa Raia wengi na hivyo kusababisha tafsiri tofauti, au utata katika Utekelezaji wake.
Pia, Utekelezaji wake kuwa na mwelekeo wa upendeleo au ubaguzi dhidi ya makundi fulani ya Watu, ikisababisha kutokuwa na Usawa katika matokeo au Haki.