sheria mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Sheria mpya kuwataka Walimu kuwa na leseni ya kufundisha, na walimu wa ngazi zote kuwa na shahada ya kwanza kama sifa ya chini

    Wizara ya Elimu nchini Uganda imewasilisha Muswada wa Taifa wa Walimu wa 2024 Bungeni, ambapo Waziri wa Nchi wa Elimu ya Juu, John Chrysostom Muyingo, ameeleza kuwa muswada huo unalenga kuboresha viwango vya ufundishaji nchini humo. Kulingana na Wizara ya Elimu na Michezo, sheria hiyo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kutegemea Katiba Mpya bora chini ya CCM iliyoko madarakani ni sawa na kusema Yanga wasimamie kutungwa sheria mpya za Ligi Kuu baada ya kuwa mabingwa!

    Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja. Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
  7. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania SoC04 "Miti Yetu, Maisha Yetu: Sheria Mpya ya Upandaji Miti Kuleta Matumaini ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Kustawisha Vizazi Vijavyo"

    Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
  8. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni yangu kwenye Mkutano wa Vyama vya Siasa kuhusu Muswada wa Sheria Mpya ya Uchaguzi. Muswada sio batilifu, ni Muswada batili

    Wanabodi, Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao. Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki. Rais Samia alipounda Kikosi...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria/Utaratibu Mpya ulivyowakosesha Wanafunzi wa UDOM Haki yao…

    SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi yeyote aliyepata carry over(Yani kufeli somo ambalo hujafikisha coursework) katika somo lolote hatakiwi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua Sheria mpya, Far Rabat imetolewa champions Ligue haitashiriki shirikisho

    Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana. Kwa anayejua atusaidie...
  13. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  14. J

    JamiiForums Tanzania FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  15. MWANDAMBO

    JamiiForums Tanzania Maudhui ya jumla na athari za sheria mpya ya TISS

    Sheria ya Usalama wa Taifa (TISS) iliyopitishwa na Bunge la Tanzania. 1. Sheria hii imewapa Kinga (Immunity) maafisa wa Usalama wa Taifa dhidi ya makosa ya Jinai kutokana na majukumu yao. Masharti haya mapya ni tofauti na masharti ya sheria hii kabla ya mabadiliko haya, ambapo maafisa wa...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya usalama wa taifa ni mwiba KWA walioitunga.

    CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo. Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi! Kama ni...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Thea Ntara ahoji kuhusu Sheria Mpya ya Umri wa Ndoa ili uanzie miaka 18

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea muda gani wa kufanya mabadiliko ya sheria!?, pia hamuoni haja ya kusitisha maoni ya Wadau kwasababu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha EFF na Malema walaani vikali sheria mpya dhidi ya mashoga Uganda

    Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Reli inakuja

    Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati".... Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR. Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
Back
Top Bottom