serikali

  1. JamiiForums Tanzania Sitapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa kwasababu ya majibu mepesi ya viongozi wenye dhamana juu ya hujuma kwa wapinzani

    Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali Serikali. Sasa kama Serikali ndio yenye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzishwa Wakala wa Uvuvi Tanzania kwa mwaka 2020

    Makujumu makubwa ni: 1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali 2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi 3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo 4. Kuandaa takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dawa ya wenye mikono na midomo michafu ni kuwanyamazisha kimya kimya na kuwapuuza Serikali iache kuwakamata itawapromote

    Baada ya kuingia huyu DGISS Mpya hoja ya utekaji imepotea kama zilivyopotea, kauli za njaa vyuma vimekaza, Udikteta na hoja nyepesi za demokrasia
  4. JamiiForums Tanzania Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mchakato wa kuchagua wagombea Serikali za mitaa kupitia wapinzani unaeleweka?

    Naona wapinzani walikosa wagombea na hadi siku ya mwisho katika kuwasilisha majina ya wagombea jamaa walikuwa wanatafuta wagombea...mbaya zaidi mwaka huu makapi yamekosekana sasa wanadai sijui ofisi za watendaji zimefungwa ingawa hakuna picha hata moja ya ofisi iliyoonekana kufungwa. Wakati CCM...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

    Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili. Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa...
  10. JamiiForums Tanzania CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014. BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waja na mbinu mpya ya kuiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wapinzani wameona jinsi gani Rais MAGUFULI akipambana kuleta maendeleo ya kweli katika Nchi yetu ya Tanzania,Hata baadhi ya wapinzani wanamkubali sana Magufuli lakini kwa kuwa wao wameshaapa kuwa wapinzani hawana jinsi bali ni kuendelea kumwaga sumu kwa wananchi ili ionekane wao ndio watu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wataka muda wa kuchukua fomu uchaguzi wa Serikali za mitaa uongezwe

    Wakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele. Source Mwananchi
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iache kufungia vyuo vikuu binafsi kwa ukosefu wa wahadhiri. Yenyewe ndio iwapeleke na iwalipe mishahara

    Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji. Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mwanasiasa aliyekomaa huwezi kumsikia anaisema vibaya Serikali ya nchi yake hovyo hovyo!

    Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo. Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje? Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inapenda kukamata watu na kuingia hasara?

    I mean kwa nini wanapoteza muda na kodi zetu kukamata watu ambao wanaikashifu na kutukana hata kuisaliti nchi yetu? Kwa nini Serikali yetu isjwatambue na kudili nao kimya kimya kama kuwa bankrupt, kuwanyima passport yetu, kama ni Wanasiasa kwa kutumia mbinu zote kwa kioo cha demokrasia...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

    Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola. Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri? --- Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaokataliwa kupewa fomu za kugombea Serikali za Mitaa ni CHADEMA peke yao au wapinzani wote?

    Mwenye kujua atujuxe Tafadhali. Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu? Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%. Je, CCM hawaihofii Cuf...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

    Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha. Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake. Kiukweli nyakati nyingine...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

    Wanabodi, Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum kabisa. Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…