serikali

  1. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaam, Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani? Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote? Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa anahujumu miradi ya maji, nchi, na Serikali ya Awamu ya Tano

    Husika na maada tajwa hapo juu. Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi. Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
  3. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Serikali inawaibia watumishi, watumishi wanaiibia serikali. Nini suluhisho?

    Habari wanajukwaa! Ninapenda kueleza au kuonyesha jinsi serikali inavyowaibia watumishi nao watumishi wanavyogeuza kibao na kuanza kuiibia serikali na mwisho wa picha kila mmoja anamlalamikia mwenzake kwamba hajatimiza wajibu wake. Kile kitendo cha mtumishi au serikali kutokuwajibika vyema kwa...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huduma za maji, serikali iunde kampuni zitakazofanya kazi kama muundo wa kampuni za simu

    Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa. Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Serikali ilikuwa sahihi kukataa taarifa ya IMF ya utabiri wa ukuaji uchumi na mfumuko wa bei?

    Naomba maoni yenu wadau kuhusu taarifa mbili za kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kama zilivyo ripotiwa na Reuters, moja ya mwezi April 2019 iliyotolewa na IMF kisha kupingwa na serikali, na nyingine ya mwezi October 2019 iliyotolewa na serikali. Mwanzo IMF walitabiri (forecast) uchumi utakuwa...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii inawafanyia hila mbalimbali wagombea wa upinzani kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?

    Tumesikia vituko na hila mbalimbali wanazofanyiwa wagombea wa upinzani, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24 mwezi Novemba, mwaka huu Vituko kama vile wasimamizi wa uchaguzi "kuzikimbia" ofisi...
  7. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa neno juu ya figisu figisu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kufuatia matukio yanayoonyesha mazingira ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyojitokeza siku ya kwanza ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo, siku ya Jumanne Oktoba 29, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kama tuliwahamasisha wananchi kujiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa basi na fomu za kugombea tuwape kwa moyo mweupe

    Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika. Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
  10. sili SG

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe wanaoenda kugombea uongozi serikali za mitaa

    Kwanza nawapongeza wote waliojitathimini na kuona wanaweza kutuwakilisha wengine vilevile wanakubalika katika maeneo yao katika hizi ngazi za chini. Ila huyu kiongozi atambue na akumbuke kwamba: Hii kazi ni ya wito na ya kujitolea kwa asilimia kubwa unawawakilsha wananchi na kuwatetea wenyonge...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tutampima Jafo kwenye usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama atatosha kuwa Rais wetu 2025

    Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee. Maendeleo hayana vyama!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali, huoni umuhimu wa kuwa na account hapa JamiiForums?

    Ndugu kiongozi,kama unaweza kuwa na account twitter na kwenye mitanda msingine,ni kwanini huoni umuhimu wa kuwa na account hapa JamiiForums ili muweze kujibu na kutolea ufafanunuzi wa mambo mbalimbali yanayoihusu serikali na pia Kuitumia account hiyo kutolea taarifa za mambo mbalimbali...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Fomu za kugombea uchaguzi serikali za mitaa kuanza kutolewa tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wapinzani zingatieni

    Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda. Source Star tv!
  14. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yataka vikwazo dhidi ya Cuba na Zimbabwe viondolewe

    SERIKALI ya Tanzania imelaani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Serikali ya Marekani dhidi ya Cuba na Zimbabwe kwa sababu vinadhoofisha biashara, uwekezaji na ustawi wa wananchi na imetaka vikwazo hivyo viondolewe. Tamko hilo limetolewa (Jumamosi, Oktoba 26, 2019) na Waziri Mkuu Kassim...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Chadema kitapata wenyeviti walau 10 wa serikali za mitaa 24/11/2019 jijini Dsm basi chama hicho hakitakufa karibuni

    Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu. Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kuwatambua wateja wa ATCL kwa lengo la kuwapatia huduma za ziada

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr Leonard Chamuriho wakati wa Sherehe ya Mapokezi ya ndege mpya Jijini Dar es salaam . Bado haijafahamika huduma za ziada zitakazotolewa nje ya zile zinazofahamika kwenye ndege zitakuwa huduma gani na zenye lengo gani .
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuate ushauri wa CHADEMA

    Kwa kuwa wapinzani wengi hasa CHADEMA wanashauri maendeleo si ya vitu ila yanatakiwa yawe ya watu, napendekeza serikali ifute ruzuku kwa vyama vya siasa ili pesa yote inayotolewa kwa ajili ya ruzuku itumike katika maendeleo ya watu vijijini, tofauti na ilivyo sasa pesa za ruzuku zinatumika...
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuidai Serikali maji, au tudai sheria ya kuhifadhi vyanzo vya maji?

    Bunge litunge sheria kali ya kutunza mazingira. Baada ya sheria kali ya money laundering ambayo haina dhamana, basi ninatamani Bunge lije na sheria kali ya mazingira. Ninadhani bado sheria ya mazingira tuliyonayo haijakidhi haja au imeshindwa kusimamiwa. Udhaifu wa usimamizi au ubutu wa sheria...
Back
Top Bottom