Mwenye kujua atujuxe Tafadhali.
Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu?
Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%.
Je, CCM hawaihofii Cuf...
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine...
Wanabodi,
Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la
kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum kabisa.
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa...
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19
Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
King Mswati III (51) wa eSwatini amenunua magari 19 na amewazawadia wake zake (zaidi ya 14) magari hayo mapya ya kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom.
Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi, huku baadhi ya wananchi wakikosa baadhi ya huduma za msingu.
Mwaka...
Wasalaam,
Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani?
Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote?
Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
Husika na maada tajwa hapo juu.
Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi.
Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
Habari wanajukwaa!
Ninapenda kueleza au kuonyesha jinsi serikali inavyowaibia watumishi nao watumishi wanavyogeuza kibao na kuanza kuiibia serikali na mwisho wa picha kila mmoja anamlalamikia mwenzake kwamba hajatimiza wajibu wake. Kile kitendo cha mtumishi au serikali kutokuwajibika vyema kwa...
Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa.
Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
Naomba maoni yenu wadau kuhusu taarifa mbili za kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kama zilivyo ripotiwa na Reuters, moja ya mwezi April 2019 iliyotolewa na IMF kisha kupingwa na serikali, na nyingine ya mwezi October 2019 iliyotolewa na serikali.
Mwanzo IMF walitabiri (forecast) uchumi utakuwa...
Tumesikia vituko na hila mbalimbali wanazofanyiwa wagombea wa upinzani, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24 mwezi Novemba, mwaka huu
Vituko kama vile wasimamizi wa uchaguzi "kuzikimbia" ofisi...
SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
Kufuatia matukio yanayoonyesha mazingira ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyojitokeza siku ya kwanza ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo, siku ya Jumanne Oktoba 29, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika.
Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
Kwanza nawapongeza wote waliojitathimini na kuona wanaweza kutuwakilisha wengine vilevile wanakubalika katika maeneo yao katika hizi ngazi za chini.
Ila huyu kiongozi atambue na akumbuke kwamba:
Hii kazi ni ya wito na ya kujitolea kwa asilimia kubwa unawawakilsha wananchi na kuwatetea wenyonge...
Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF
Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugu kiongozi,kama unaweza kuwa na account twitter na kwenye mitanda msingine,ni kwanini huoni umuhimu wa kuwa na account hapa JamiiForums ili muweze kujibu na kutolea ufafanunuzi wa mambo mbalimbali yanayoihusu serikali na pia Kuitumia account hiyo kutolea taarifa za mambo mbalimbali...
Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda.
Source Star tv!
SERIKALI ya Tanzania imelaani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Serikali ya Marekani dhidi ya Cuba na Zimbabwe kwa sababu vinadhoofisha biashara, uwekezaji na ustawi wa wananchi na imetaka vikwazo hivyo viondolewe.
Tamko hilo limetolewa (Jumamosi, Oktoba 26, 2019) na Waziri Mkuu Kassim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.