Sitapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa kwasababu ya majibu mepesi ya viongozi wenye dhamana juu ya hujuma kwa wapinzani

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali Serikali.

Sasa kama Serikali ndio yenye jukumu la kuchagua viongozi wote wakisiasa ni vyema waendelee na jukumu lao.

Afrika hatukustahili kujiongoza, chama kinapewa kipaumbele kuliko nchi.

Sasa nimeamini kuwa Mwafrika ni janga katika ulimwengu huu.
 
Tulijua huu si uchaguzi ni uchafuzi ndio maana hatuku jiandikisha, hamkutuelewa mkajidai kwenda kujiandikisha, sasa na kura kapigeni ili muendelee kuwa wazalendo wakati mnalia na mioyo yenu.
Mimi binafsi ningemchagua Mwenyekiti wa sasa ambaye ni mwanaCCM. Amejitahidi kufanya machache mazuri mtaani kwetu ila kwa hujuma hizi sitapiga kura uchaguzi huu.
 
wakati ws kujiandikisha ulidai hutojiandikisha, leo unasema hutopiga kura, ulijiandikisha wapi, nyie ndo mnapotosha watu humu.
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali serikali. Sasa kama serikali ndio yenye jukumu la kuchagua viongozi wote wakisiasa ni vyema waendelee na jukumu lao.
Afrika hatukustahili kujiongoza, chama kinapewa kipaumbele kuliko nchi.
Sasa nimeamini kuwa Meafrika ni janga katika ulimwengu huu.
 
Nimejiandikisha, na sijawahi kusema kuwa sitajiandikisha. Itakuwa una tatizo wewe si bure.
 
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali serikali. Sasa kama serikali ndio yenye jukumu la kuchagua viongozi wote wakisiasa ni vyema waendelee na jukumu lao.
Afrika hatukustahili kujiongoza, chama kinapewa kipaumbele kuliko nchi.
Sasa nimeamini kuwa Meafrika ni janga katika ulimwengu huu.
Kama ulilazimishwa kujiandikisha,hakika utalazimishwa na kupiga kura!!!
Kuwa mtumishi ni janga!!!
 
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali serikali. Sasa kama serikali ndio yenye jukumu la kuchagua viongozi wote wakisiasa ni vyema waendelee na jukumu lao.
Afrika hatukustahili kujiongoza, chama kinapewa kipaumbele kuliko nchi.
Sasa nimeamini kuwa Meafrika ni janga katika ulimwengu huu.
Wenzio tangia yule bwana ashambuliwe kwa risasi tulishajiapiza hatupigi Tena kura kwasababu tulishajua hakuna kushindana tena kwa hoja ni nguvu ya dola kwa kwenda mbele
 
na mimi naamini sitajitokeza.

kwa habari za kuwafurusha wabinzani ili wagombea wapite bila kupingwa hii ni mbaya sana.

SITAPIGA KURA
 
FB_IMG_1572929741795.jpg
 
KITAKACHO NIFANYA NISIPIGE KURA SASA NA MWAKANI 2020 ni ile kauli ya Mkuu kuwa hataki "mpinzani" atangazwe mshindi hata kama ameshinda...

Kweli Maneno ya Vladimir Putin, ni sahihi kabisa., alisema......" Mtesi wa MTU mweusi ni MTU mweusi"
 
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali serikali. Sasa kama serikali ndio yenye jukumu la kuchagua viongozi wote wakisiasa ni vyema waendelee na jukumu lao.
Afrika hatukustahili kujiongoza, chama kinapewa kipaumbele kuliko nchi.
Sasa nimeamini kuwa Meafrika ni janga katika ulimwengu huu.

Halafu bado kuna mapumbavu yanasema hii serikali ni ya kisasa?

Bado kuna mapunguani yanasema Jiwe ni kiongozi bora wa kuigwa generation to generation?

Sijui lini tutaelewa kua jamaa ni way below normal standards!

Mahangaiko ya dunia hii tulitegemea serikali iwe ndio model citizen wa kutoa haki na kuelimisha watu how to live and respect mifumo!

Kinyume chake tunaona mavi matupu!

Shame!
 
Back
Top Bottom