Uchaguzi 2019 Wapinzani wataka muda wa kuchukua fomu uchaguzi wa Serikali za mitaa uongezwe

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,360
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,360 2,000
Kwanini msikae hapo ofisini 24 hrs?
Wakae 24hrs ndio utaratibu? Baada ya Magufuli kutamba miaka minne akifanya siasa na kumuonea yoyote asiyemsijudia, nilitarajia aheshimu box la kura kwani wapinzani wake wameshakufa kisi, lakini naona kinyume chake.

Hapo ndio ukitaka kujua wazungu wako sahihi kutuita manyani angalia haya yanayoendelea kwenye chaguzi zetu. Kibaya zaidi huo uhanithi unafanywa na watumishi wenye elimu ya vyuo.
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
8,346
Points
2,000

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
8,346 2,000
Wakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele.

Source Mwananchi
Watendaji wa kata ni Sumu ya Demokrasia nchini wamekuwa kero kwa wapinzani utazani CCM imewahi kupigana vita vya siraha kubwa za moto maangamizi ya kimbali na wapinzani, CCM wana chuki mbaya kwa wapinzani mpaka uliwengu mzima unashangaa
 

KIGENE

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
1,182
Points
1,500

KIGENE

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
1,182 1,500
Halafu utawasikia wameibiwa kura. Sijui nani atakuwa amewapigia!
Unataka kutuaminisha kuwa kama mwana CCM akijiandikisha basi automatically anapiga kura yake kwa mgombea wa CCM?.
Kila mtu ana utashi wake,ndio maana unakuta jimbo fulani kura za rais zinakuwa nyingi kutoka chama A na ndogo kwa mbunge wa chama B.
 

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
3,646
Points
2,000

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
3,646 2,000
K
Unataka kutuaminisha kuwa kama mwana CCM akijiandikisha basi automatically anapiga kura yake kwa mgombea wa CCM?.
Kila mtu ana utashi wake,ndio maana unakuta jimbo fulani kura za rais zinakuwa nyingi kutoka chama A na ndogo kwa mbunge wa chama B.
Kama mwana Chadema anaweza kumpigia kura wa CCM sina pingamizi na hoja yako. Lakini, kumbuka kuwa mara nyingi wana CCM huwapigia kura wa upinzani pale wanapokuwa hawamkubali mgombea wao.
 

Forum statistics

Threads 1,381,149
Members 525,998
Posts 33,790,519
Top