serikali

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

    CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
  2. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa sana hakitikiswi na uzushi wowote. Tumemaliza uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa kwa amani

    Kwa kweli Mungu ni mwema leo tumepiga kura za maoni kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa na zoezi tumelikamilisha vema kabisa. Kiukweli hawa viongozi tuliowachagua ni kama wameshapita bila kupingwa kwani 87% ya wakazi wote hapa mtaani tumeshiriki uchaguzi na kufanya maamuzi na sidhani kama...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini. Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana...
  5. Shigganza

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake. Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
  6. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Taifa: Kwanini wananchi hawako huru kuibeba au kuitumia?

    Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka: Bendera ya Tanzania, Ndio ya kujivunia, Ilianza kupepea, Mwaka sitini na...
  7. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watumishi 4,160 walioondolewa kwa vyeti feki warudishwa

    Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa. Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa...
  8. mkubhi

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi watafanya nini siku Serikali ikisema mwezi huu hakuna mshahara?

    Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani, makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili? Wakuu naleta kwenu!
  9. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
  11. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Serikali itazame TANROADS kwa manyanyaso haya barabarani

    Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Serikali ibadilishe madaraka ya mkuu wa mkoa na yasiingiliane kabisa na Jeshi la Polisi

    Habari wakuu. Nafikiri umefika muda wa Serikali yetu kuliangalia hili suala la wakuu wa Mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa, haya ni madaraka yanayoingiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi, na wote tunajua ya kuwa wateule hawa wengi wao hawana mafunzo ya kijeshi, hata kwenye...
  13. Mgambilwa ni mntu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzima Mitambo yote ya TANESCO inayotumia mafuta mazito kufikia mwaka 2020: Ni baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020. Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!

    Wanabodi, Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya udikiteta ni jambo kubwa na very serious kuhusu utawala na uongozi wa nchi yetu na linahusisha tuhuma nzito...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni hadharani gharama za mazungumzo na gharama za kugharamia uchunguzi uliofanywa na kamati 2 za Rais

    Sisi tukiwa kama walipa kodi, tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia. Ni hayo tu. Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya...
  16. Ben Saanane

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
  17. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Serikali yalifungia gazeti la MSETO kwa miaka 3 kwa kuandika habari likitumia nyaraka za kugushi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amelifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 kutokana na kuandika stori yenye nyaraka za kughushi. Nape amelifungia gazeti hilo leo baada ya kuandika habari ya uongo kuhusu Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Edwin Ngonyani na...
  18. Shindu Namwaka

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa ufuta Lindi na Mtwara waililia serikali kushuka kwa bei ya ufuta

    Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo. Katika misimu miwili iliyopita zao la ufuta lilinunuliwa kuanzia Tsh 2500 hadi Tsh 3000 hali iliyopelekea watu wengi kuhamasika kulima zao hili kwa wingi na vijana wengi walihamasika kurudi mjini hasa jiji la Dar Es Salaam baada ya kuvutiwa na ongezeko hilo la...
  19. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uko palepale, gazeti lilipotosha

    Hii ni kwa mujibu wa Prof. Mbalawa, kasema gaazeti la the citizen ni limeandika uwongo. Chanzo: TBC habari ======== UPDATE: Dar es Salaam. The government has said the processes for the construction of the Bagamoyo Port will not be halted and will continue. Reacting to reports about the...
  20. Davion Delmonte Jr.

    JamiiForums Tanzania Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    UTAJIRI MKUBWA ULIOPO KWENYE UWEKEZAJI WA DHAMANA ZA SERIKALI Uwekezaji kwenye dhamana za serikali umegawanyika makundi mawili. i) Dhamana za muda mfupi (treasury bills) ii) Dhamana za muda mrefu (treasury bonds) Kwa nchi yetu ya Tanzania biashara ya dhamana za serikali inasimamiwa na...
Back
Top Bottom