Dawa ya wenye mikono na midomo michafu ni kuwanyamazisha kimya kimya na kuwapuuza Serikali iache kuwakamata itawapromote

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Baada ya kuingia huyu DGISS Mpya hoja ya utekaji imepotea kama zilivyopotea, kauli za njaa vyuma vimekaza, Udikteta na hoja nyepesi za demokrasia
 
Back
Top Bottom