Hivi mchakato wa kuchagua wagombea Serikali za mitaa kupitia wapinzani unaeleweka?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,093
28,310
Naona wapinzani walikosa wagombea na hadi siku ya mwisho katika kuwasilisha majina ya wagombea jamaa walikuwa wanatafuta wagombea...mbaya zaidi mwaka huu makapi yamekosekana sasa wanadai sijui ofisi za watendaji zimefungwa ingawa hakuna picha hata moja ya ofisi iliyoonekana kufungwa.

Wakati CCM inafanya michakato ya uteuzi jamaa walikuwa wamelala usingizi wa pono!!

poleni sana !
 
Waulize wenzako waliokuwa wanapora fomu na kufunga Ofisi ili hao wapinzani wasichukue na kurudisha fomu.
 
Mkuu mnahangaika nini wakati uchaguzi umeisha na ushindi wa kishindo mmepata, muda huu inatakiwa muanze sherehe
 
Back
Top Bottom