Kwanini Serikali inapenda kukamata watu na kuingia hasara?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
I mean kwa nini wanapoteza muda na kodi zetu kukamata watu ambao wanaikashifu na kutukana hata kuisaliti nchi yetu? Kwa nini Serikali yetu isjwatambue na kudili nao kimya kimya kama kuwa bankrupt, kuwanyima passport yetu, kama ni Wanasiasa kwa kutumia mbinu zote kwa kioo cha demokrasia kuhakikisha hawarudi Bungeni hata kwa faulo, n.k. haya mambo ya kuwakamata kamata hayaleti sura nzuri.

Wao wanakwenda chini kwa chini, Serikali pia idili nao chini kwa chini hata kuwawekea sumu wakiwa kwenye mgahawa au baa kwa vitu kama hivyo.

Wanikabidhi mimi hii nchi mimi dadadeki, hamtasikia mtu akiitwa sijui polisi ila mtasikia vilio huko kwao, ...
 
Hata ukiua wote na wewe ipo siku utakuwa chakula cha funza.
Kwahiyo hiyo work done=ZERO
 
Siyo kweli, nitakuwa nimesevu fedha nyingi na kuzitumia kuwekeza kuboresha maisha ya Wananchi.
 
I mean kwa nini wanapoteza muda na kodi zetu kukamata watu ambao wanaikashifu na kutukana hata kuisaliti nchi yetu? Kwa nini Serikali yetu isjwatambue na kudili nao kimya kimya kama kuwa bankrupt, kuwanyima passport yetu, kama ni Wanasiasa kwa kutumia mbinu zote kwa kioo cha demokrasia kuhakikisha hawarudi Bungeni hata kwa faulo, n.k. haya mambo ya kuwakamata kamata hayaleti sura nzuri.

Wao wanakwenda chini kwa chini, Serikali pia idili nao chini kwa chini hata kuwawekea sumu wakiwa kwenye mgahawa au baa kwa vitu kama hivyo.

Wanikabidhi mimi hii nchi mimi dadadeki, hamtasikia mtu akiitwa sijui polisi ila mtasikia vilio huko kwao, ...
Hivi tangu mumeo akuache akili zimehamia huko jicho pori ee?
 
Siyo kweli, nitakuwa nimesevu fedha nyingi na kuzitumia kuwekeza kuboresha maisha ya Wananchi.
Nilidhani unapoint kumbe ni kama vile umechanganyikiwa. Inamaana roho ya madaraka ndo inakufanya unatamani kuua ndugu zako?
 
Ni wapi nimetamani kuuwa mtu?
 
Mungu wangu ndo tumefikia hii hali ya superego?Ee Mungu tuhurumie wana wako,tuombe ,Ee Mungu sisi sote ni wanadamu tumeumbwa kwa mfano wako ,tunaomba busara na hekima hata pale tunapokosea utusamehe ,tazama tunakoelekea ,binadamu kutamani kumuua binadam mwenzie ,nakemea roho za kikatili na uturejeshee roho za utu na ubinadamu mioyoni mwetu ,tuendelee kukumbuka kuwa Mungu ulikuwepo ,upo na utaendelea kuwepo ......Amen
 
Back
Top Bottom