Mbowe ni mwanasiasa aliyekomaa huwezi kumsikia anaisema vibaya Serikali ya nchi yake hovyo hovyo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,797
148,112
Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo.

Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje?
Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu.

Niwatakie maandalizi mema ya Dominika.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyo ni kada wa chama cha mapinduz. Asingekuwa kada wenu, asingekuwa kimya kwa yote ambayo wapinzani wanapitia akiwemo yeye mwenyewe.
 
Unamaana chadema ni fujo na endapo akipatikana mstaarabu anakuwa si chadema ameshapitia evolution process Kawa ccm.😂😂
 
Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo.

Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje?
Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu.

Niwatakie maandalizi mema ya Dominika.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani demokrasia inasemaje kuhusu kuikosoa sirikale?
 
Wanasiasa wengi Kwasasa,upinzani au tawala,wengi hawajui kujenga hoja na inaishia kuongea uozo tu,ulijaa unamsikiliza mtu anayejiita mwanasiasa,sijui mwanaharakati mambo anayoingea mpaka unahisi kinyaaa
 
Umesema kweli mkuu,sijui wanakwama wapi maana ngao ya wapinzani kwa sasa ni fujo na kulia lia wapewe kura za huruma na sisi wapiga kura tunataka hoja na sio vihoja.
 
Kwani kuna ubaya gani kuisema serikali kama inafanya mambo ya ovyo? Unataka tuisifie wakati watu wanatekwa na kupotea, Mbunge Lissu anapigwa risasi mchana kweupe, viongozi wa vyama vya upinzani wananyanyaswa, vyombo vya habari vinaminywa, mishahara ya watumishi was umma imebanwa, n.k
Mbowe anajielewa sana
 
Kampeni yenu ya kutaka asichaguliwe tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema imefikia wapi?? Acha unafiki

Back
Top Bottom