Serikali ya Sudan yakifutilia mbali chama cha Dikteta Al Bashir cha National Congress (NCP)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,571
217,926
Serikali ya mpito nchi Sudan imekifutilia mbali Chama cha NCP kilichokuwa kikiongozwa na dikteta Omar Al Bashir, ikiwa ni katika juhudi za kuleta amani ya kweli nchini humo, lengo ni kuondoa vimelea vyote vya udikteta .

Hili ni onyo kwa vyama vingine vya kidikteta barani Africa, kwamba unapotenda uchafu utahukumiwa, dikteta Bashir alifikia kiwango hata cha kumdharau Mtume Muhamad S.A.W , kwa kujivika utukufu kwa kutegemea madaraka, huyu alimiliki polisi, jeshi, watekaji na kila nyenzo ya kuulia wengine, lakini ameng'olewa kwa aibu!

Muda wako ukifika hakuna cha salute wala ving'ora.
 
Sudan ilikuwa Serikali ya kijeshi kwa muda mrefu sana, walimuweka Osama Bin Laden kwa kipindi kirefu tu.
 
Back
Top Bottom