serikali

  1. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  2. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi. Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi? This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Stimulus Package kwa wasanii: napendekeza serikali ikae nao, iwape hela, waandae matangazo kuhusu corona,yaruke hewani,tusiwajali kwenye kampeni tu!

    Huo ndio ushauri wangu, wasanii, kwa makundi na aina ya sanaa zao, wapewe fedha waandae matangazo, kama ni TV, basi wanaweza kuwa hata kumi kwa tangazo, matangazo yakawa mengi,vituo vya redio na TV na magazeti, serikali ikadondosha kwa hata milioni 500-700 #stimulus package
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tunaposema serikali imejitahidi sana kupambana na janga la Corona imefanya nini mpaka sasa? Tujadili kwa uwazi

    Kuna mitazamo inayokizana juu ya namna serikali inavyoshughulikia janga la Corona nchini. Wako wanaosema serikali so far imepambana sana na janga la Corona lakini wapo wanaosema serikali haijafanya chochote. Toa maoni yako itapendeza kama utatoa na evidence.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wazo Huru: CCM na Serikali yako mnakwama wapi?

    Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili. Hoja yangu ni fupi...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

    Wanabodi, Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwamoto: Hali ni tete ndani ya wiki mbili tumepoteza wabunge watatu na hatujui nani atakayefuatia, naomba serikali itupime Corona!

    Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa mh Mwamoto amesema hali bungeni ni tete na ya kutia wasiwasi kufuatia vifo mfululizo vya wabunge. Mwamoto amehofu kuwa ndani ya wiki mbili wabunge watatu wamefariki na hawajui anayefuatia ni nani hivyo ameiomba serikali ifike bungeni na kuwapima Corona...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tayari tumetoa Tsh. Bilioni 15.49 kwa ajili ya CoronaVirus na tumesamehe kodi kwa baadhi ya vifaa vya kujikinga

    Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Serikali inaangalia tija, wachukue watu kama Maxence Melo waingize Serikalini tulijenge Taifa

    Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu. Naishauri serikali Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Korona imeiokoa Serikali (Mtazamo wangu)

    Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kwa miaka minne imekuwa ikiwadanganya wafanyakazi juu ya kuwaongeza mishahara Yao. Wakati wanapiga kampeni CCM na Rais Magufuli waliwaahidi wafanyakazi kwamba watawaongeza mishahara Yao lakini kila mwaka Rais Magufuliakialikwa kwenye sherehe za meimosi...
  11. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa wameanza kuelewa Serikali ya wanyonge ni serikali ya namna gani

    Watanzania wengi sasa wanaanza kuona, wengi walikua wamevaa miwani ya mbao hapo kabla ila sasa mbao zimeoza wameanza kuona na kujua serikali ya wanyonge ni serikali ya namna gani. Serikali ya wanyonge ambayo imejaa majigambo, serikali inayonunua ndege cash money young money, inajenga...
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Zephania Musendo hatunaye, alizikwa na Serikali wiki jana

    Wale wanaomfahamu Zephania Musendo, alikuwa Mwanahabari Mwandamizi na Mhariri mkuu TSN na mwishoni nadhani alikuwa MCT. Amefariki dunia wiki iliyopita Kawe Dar Es Salaam na kuzikwa na Serikali, Mei 17, mwaka 2005 alifungwa Miaka Mitano katika gereza la Keko kwa kupatikana na hatia ya kuomba na...
  13. 1987SANAWA

    JamiiForums Tanzania Namna Duwasa-Dodoma Ilivyopoteza Mwelekeo Baada Ya Serikali Kuhamia Dodoma

    Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

    Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo ! Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu! Hali inatisha na kuogofya ...! mfano jioni...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

    Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
  17. introvert

    JamiiForums Tanzania Serikali, tuzike watakaopeteza Maisha kutokana na COVID19 kwa heshima. Utaratibu uwekwe wazi

    WanaJF, Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi. Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serikali kutoonyesha ithibati kwenye mapambano dhidi ya Korona, Wananchi wameanza kurelax

    Siku za hivi karibuni serikali imeonekana kuacha kuweka msisitizo juu ya mapambano dhidi ya Korona, Si waziri mkuu wala Waziri wa Afya wala mganga mkuu wa serikali wameonekana kuja mbele kuendelea kuukumbusha umma kuwa tuna hali ya hatari. Hawatoi tena updates ya waliopona, walioambukizwa, vifo...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  20. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
Back
Top Bottom