serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili. Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ingekuwa inajali watu wake kama inavyosema, sehemu zinazoua sana kama Wami, Mbalizi zingerekebishwa haraka, bibi kijijini angepata maji

    Mara nyingi nasikia matamshi ya viongozi kwamba serikali inajali sana watu wake. Huwa najiuliza kila ninaposikia matamshi haya, kwamba hivi "watu" ambao serikali inawajali sana ni wapi hasa? Je ni matajiri ambao ndio wanafaidika na karibu 80% ya matumizi ya serikali? Je ni watu walioko miji...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge kupitisha azimio la kumpongeza Spika Ndugai na Serikali kutobadili Makao Makuu ya shughuli zake

    Bunge la Tanzania leo linaendelea na shughuli zake katika Mkutano wa 19, Kikao cha 40 ambapo baadhi ya shughuli ni kupitisha maazimio mawili Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali Azimio la pili ni Kumpongeza...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ni wajibu wa Serikali kutupa majibu sahihi

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Serikali ni chombo cha wananchi chenye dhamana ya kuwaongoza wananchi wake. Katika dhamana hiyo serikali haiwezi kuukwepa wajibu wake wa kutoa taarifa zilizo sahihi katika jambo lolote lile kwa wananchi wake. Ni vivyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaacha kutoa bei elekezi ya pamba

    June 7, 2020 Mwanza, Tanzania Serikali yaacha kutoa bei elekezi ya pamba Waziri wa Kilimo Mh. Japhet Hasunga awaambia wakulima, bodi ya Pamba na wadau wa zao la pamba nchini kuwa sasa serikali imeacha kutoa bei elekezi ya zao la pamba. Waziri huyo wa Kilimo alibainisha kuwa mwaka jana...
  8. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chome waunga mkono jitihada za Serikali kujenga barabara

    Same Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara yenye urefu wa kilomita 15 baada ya serikali kutengeneza barabara ya Sanga Chome Kakoa kilomita 9 kati ya 24. Hamad Waziri Hamad mkazi wa Chome alisema kuwa kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Sio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja. Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo: 1. Huduma ya T PESA Aisee huu mtandao kama utatuma hela siku ya Ijumaa usiku ghafla litokee tatizo wallah utakuja kuhudumiwa siku ya Jumatatu. Hili tatuzo limenipata juzi hapa Ijumaa tarehe 7...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha maambukizi mapya 124 ya COVID 19 wakiwemo Watanzania wawili. Watu wanne zaidi wafariki

    Serikali yathibitisha maambukizi mapya 124 ya COVID 19, waliopona 39 pamoja na vifo 4. --- Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday announced that 124 more patients had tested positive for COVID-19 from 2,640 samples tested in the last 24 hours. CS Kagwe, speaking during the daily...
  12. JamiiForums Tanzania Kushuka bei kwa mafuta sio furaha ya kudumu na sio juhudi za serikali ya awamu ya tano

    Kwanza niwapongeze EWURA kwa ‘at least’ kuonesha kwamba wanamjali mwananchi wa chini. Bei ya mafuta (petrol) imeshuka karibu kwa asilimia 28% kutoka wastani wa Tzs 2,100 iliyokuwepo kuanzia mwanzo wa mwaka huu (Pre-Corona Crisis) mpaka bei ya sasa ya Tzs 1,500 kwa lita. Katika kipindi hicho...
  13. JamiiForums Tanzania Fedha ya Serikali inavyopigwa na Halmashauri kupitia Waalimu

    Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini. Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo wa uendeshaji wa taasisi za kidini, madhehebu yasiyo na utaratibu rasmi yaonywa

    SERIKALI imetoa waraka wa mwongozo mpya kuhusu uendeshaji wa taasisi za kidini nchini wenye mambo tisa ya kuzingatia. Pia, imeonya na kuyabana zaidi madhehebu yanaoibuka bila kuwa na mifumo mizuri ya kitaasisi, yanayotumia usajili wa wengine na wanaoruhusu usajili wao kutumiwa bila kufuata...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya CCM imepoteza "credibility" ya kupambana na watoa rushwa

    Tulisikia "maigizo" ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, akieleza kuwa safari hii kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, hawataruhusu hata kidogo watoa rushwa wenye nia ya kutaka kupendekezwa na chama hicho kwa nia ya kuwa wagombea kwa nafasi yoyote katika uchaguzi ujao...
  16. JamiiForums Tanzania COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iache double standards, kila mtu ana mchango sawa kwenye maendeleo ya nchi yetu

    Serikali iendeshe inchi kwa usawa. Isipendelee. Najua hakuna usawa kamili ila angalau kua na usawa kiasi. Hii serikali inaonekana iko selective, baadhi ya makundi ya watu inayapenda wengine hawapendwi. Tukianza na watumishi wa umma. Toka serikali hii imeingia haijawahi kuongeza mishahara wala...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Chadema kutoka kuwa chama cha upinzani hadi kuwa chama adui kwa serikali na wananchi wa kawaida

    Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu. Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
  19. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali yetu kwenye Sheria za Uchaguzi

    Ninaombi kwenye sheria zetu za uchaguzi kipengele kimoja tu kibadilishwe au kiongezwe. Kwa maoni yangu ningependa iwe hivi Mbunge yeyote " Akijihudhuru au kuhama chama" basi aliyekuwa anafuatia kwenye kura wakati wa uchaguzi Mkuu yaani wa pili aapishwe ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani au mtu wa aina gani anayeruhusiwa kumiliki nyara za Serikali kisheria

    Sote tuna fahamu nyara za serikali ni nini, Je kuna sheria inayo mruhusu mtu yeyote yule kumiliki nyara za serikali? achilia mbali leseni ya uindaji ili uwinde wanyama, namaanisha upewe kibali uwamiliki mfano ndege kama TAUSI uwe nao nyumbani kwako uwafuge, sijawahi sikia popote pale kuwa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…