serikali

  1. sabuwanka

    Heko Rais Magufuli kuhamishia Serikali Makao Makuu Dodoma

    Kwa takribani wiki nzima nilikuwa makao makuu Dodoma kwa shughuli binafsi , nimebahatika kutembelea mji wa Serikali, Nzuguni, Ihumwa , Stendi Mpya, Udom, Mipango, Mbwanga nk. Nimegundua kasi ya ujenzi wa miundo mbinu ni kubwa kuliko awali na kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanajenga nyumba...
  2. YEHODAYA

    Jinsi ya Serikali kuondoa lawama na kutuhumiana kuwa wawekezaji toka nje wanatuibia

    Mara nyingi kumekuwa na msemo kuwa wawekezaji wa nje wezi wanatuibia waafrika .Hatufaidiki na uwepo wao au tunafaidika kidogo wao ndio wanapata Sana kwenye mikataba ya madini,mafuta ,gesi nk Tatizo kwenye hili ufumbuzi tunao sisi wenyewe waafrika.Nitatoa mfano makampuni yanayochimba...
  3. J

    Serikali ya awamu ya 5 ni ya Uwazi na Ukweli kupita ile ya Awamu ya 3

    Rais Magufuli amekuwa ni mkweli na muwazi sana katika uongozi wake na kwa hakika zama hizi ndio za uwazi na ukweli sio zile za awamu ya 3. Waziri akizembea au kufisadi anatumbuliwa mchana kweupe na Wananchi tunaelezwa kinaga ubaga sababu za utumbuzi huo, hakuna kuoneana. Hongera Rais Dr...
  4. Kididimo

    Kuna hatari naanza kuiona: Kuwa na viongozi waandamizi waliotumbuliwa wengi huku mitaani. Serikali iwe macho nao!

    Tumbua, teua,tumbua ni dhana njema ya kupanga safu bora ya viongozi. Hawa wanaotumbuliwa wengi wao hawakupenda itokee na wanatoka kwa shingo upande. Kuna RC mmoja wa mkoa mmoja alimlilia mtumbuaji, tena alikuwa Dr. kuwa mimi sijui kazi nyingine ya kufanya, ungenihurumia! Kilio hakikusikika...
  5. Analogia Malenga

    Syria: Waasi wauwa wanajeshi 40 wa serikali jimboni Idlib

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema waasi nchini Syria wamewauwa wanajeshi 40 wa serikali na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80, katika mashambulizi waliyoyafanya katika jimbo la Idlib. Shirika la habari la Urusi, Interfax limenukuu tangazo la wizara hiyo, lililosema kuwa waasi walizikamata kambi...
  6. Kurzweil

    Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
  7. S

    Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  8. Mpigamaji

    Majina ya Taasisi na Mamlaka za Serikali kwanini yapo kwa lugha ya Kiingereza?

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?. Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani...
  9. Papaa Mobimba

    Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

    Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita. Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo...
  10. M

    Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

    Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006. Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
  11. Gily Gru

    Rai kwa Serikali na Bunge: Wanaoambukiza UKIMWI kwa kukusudia wahanisiwe, wapigwe chapa au wadungwe sindano za kutoa mihemuko

    Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi...
  12. Mystery

    Hivi ni kipi kilipaswa kujengwa kwanza, ni kuinua daraja la Jangwani au kujenga Daraja jipya la Salenda hadi Coco beach?

    Baada ya kuona haya mateso makubwa wanayopata wanabchi kwa kufunga barabara inayounganisha jijini Dar na Magomeni ikijirudia Mara kwa Mara kutokana na mvua kunyesha, nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watawala wetu walitumia busara kweli kuamua kujenga daraja la kuunganisha Coco beach na Salenda...
  13. J

    Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

    Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu. Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
  14. VOICE OF MTWARA

    Serikali inafahamu kuwa wananchi wengi mkoani kigoma hawajapatiwa namba za Nida?

    Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
  15. USSR

    Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu. Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
  16. YEHODAYA

    Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  17. J

    Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge...
  18. beth

    Serikali kutoongeza muda kusajili laini

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka. Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
  19. The Assassin

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza. Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
  20. dvj nasmiletz

    Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
Back
Top Bottom