serikali

  1. Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  2. Shule binafsi zinafanya vizuri sana, Serikali inakosea wapi?

    Kama ni walimu wote wamesoma chuo kimoja na wale wa private lakini matokeo tofauti. Tatizo liko wapi? Nashangaa sana jambo hili watoto wanafeli hakuna mfano. Mwalimu anafundisha Primary lakini mtoto wake yupo shule private, Mwalimu mwingine anafundisha Secondary lakini mtoto wake anasoma Feza...
  3. Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

    Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa. Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium. Wanafiki wakubwa nyie msio na haya Hizi ndizo...
  4. TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
  5. Je, unaelewa nini kuhusu Ugaidi unaofanywa na mamlaka za Serikali (state sanctioned terror)?

    Habari za sikukuu? Natambua kwamba kwa watanzania wengi hii ni siku kama siku nyingine na kwamba maisha yanaendelea kama kawaida. Natambua pia kwamba kuna ambao wako katika huzuni na pia wapo ambao wako katika furaha. Hayo ndio maisha na inabidi tukubaliane na hali halisi kabla ya kuanza...
  6. F

    Mifumo ya Uendeshaji wa Serikali ya Awamu ya Tano, iangaliwe upya! Watanzania "tutachoka" vibaya sana ndani ya hii miaka 10 ya Mhe. Rais Magufuli

    Naandika waraka huu mfupi nikitambua kuwa kuna watu leo katika Nchi hii hawataki kusikia mawazo mbadala wala kukosolewa kwa mwenendo wa Serikali ya Awamu ya Tano. Mhe.Rais Magufuli chukua muda sikiliza pia mawazo mbadala kutoka kwa watu ambao hawakusifii tu! Mhe.Rais Mstaafu Benjamin Mkapa...
  7. E

    Je hapa naweza kuishtaki serikali? Na je ni hatua gani za kufuata?

    Niliingia mkataba na Kamati ya ujenzi kwa niaba ya halimashauri wa kujenga wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya. Mkataba ulikuwa nijenge jengo kwa miezi mitatu. Mimi kazi yangu ilikuwa kujenga na wao Kamati walete vifaa na kunilipa labour charge. Sasa kazi imesimama ni mwezi wa tisa sasa...
  8. Serikali kuanza kuwawekea umeme wa REA wananchi Masikini kwa kutumia Mabavu

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile. Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea...
  9. T

    Umakini unapungua, chuki inaendelea kushamiri

    Hivi karibuni niliandika kuhusu chuki inavyoshamiri kila kona. Leo naangalia tena ni chuki gani inaendelea kukua. Zimebaki siku 9 tu tufunge Mwaka huu tuufikie mwaka wa Uchaguzi. Hivi karibuni nimewaona Chama cha Upinzani wamefanya Uchaguzi wao ambapo viongozi waliotokeza kuongoza Chama...
  10. Mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa

    Si jingine ni hili la mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa. Tumefika huku jamaniiii. Zamani ilikuwa unaweza kutoa kwenye 5000 ukapata 4500. Siku hizi ni BUKU MZEE WANAKATA BUKU KABISA. WAMEPANDISHA MARA MBILI. Au mnaonaje wadau...
  11. Baada ya watu kuugua matumbo kwa chakula cha msibani sasa Serikali yapitisha amri ya watu kuomba kibali cha kukusanyika kwenye misiba

    Wakazi wa Mtumba wakimzika marehemu Edward Mabumba ambaye msiba wake umekuwa wa watu 55 kulazwa hospitali baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Picha na Habel Chidawali Dodoma. Serikali imetoa amri ya muda kuzuia mikusanyiko kwenye misiba mtaa wa Mtumba jijini hapa. Amri hiyo inawataka...
  12. Twitter na Facebook zafuta akaunti zinazofadhiliwa na serikali kueneza uongo

    Mtandao wa kijamii wa Twitter umesema leo kuwa umezifuta akaunti 6,000 zilizokuwa sehemu ya juhudi kubwa ya serikali ya Saudi Arabia na watu binafsi ya kutanua maslahi ya kisiasa na kieneo ya taifa hilo. Twitter imesema akaunti hizo zimekuwa zikisambaza maudhui ya kupigia upatu mamlaka za...
  13. B

    Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

    Dodoma 20, 2019 WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
  14. Sio kwamba watu hawataki kufanyakazi. Serikali tengenezeni mazingira ya kazi zenye tija

    Tuna vijana wengi wamemaliza darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha tano, chuo, n.k. wana moto na hali ya kufanyakazi lakini kazi za kufanya za kujenga jamii au taifa huku wakijipatia kipato ziko wapi? Kisayansi: kazi (Work) = Force (kani) X Distance ( Umbali). Ikiwa na maana ukiburuza...
  15. J

    Chadema badala ya kupigania Tume huru ya uchaguzi wao wanataka NEC isimamie uchaguzi wa Serikali za Mitaa badala ya TAMISEMI

    Kuna wakati ukivifikiria hivi vyama vya upinzani unaelewa ni kwanini CCM inaweza kuongoza hii nchi kwa namna inavyotaka. KUB anaomba eti NEC ndio isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa badala ya waziri wa Tamisemi.......yaani anaamini hapo ndio haki itatendeka. Binafsi sioni tofauti kati ya...
  16. Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  17. Mkakati mwingine wa kuendeleza mpunga waja

    Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
  18. Serikali ya Libya inasema mwandishi maarufu amekamatwa

    Mwandishi wa habari maarufu wa Libya amekamtwa na kuwekwa kizuizini na chombo cha kijasusi ambacho kinatajwa kuwa na uhusiano na serikali inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa. Chombo hicho kilimtia nguvuni Reda Fhelboom akiwa katika uwanja wa ndege nje kidogo ya mji wa Tripoli, muda mfupi...
  19. Zitto: Ni Kutumiwa na GMO, Tamaa za Umaarufu au ni Kutosoma Ripoti Mbalimbali

    Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko. Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei. Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula. Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
  20. J

    Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

    Waziri wa ujenzi mh Kamwelwe amesema kwa sasa Serikali inaumiliki uwanja wa KIA kwa asilimia 100 baada ya kuwalipa wazungu waliokuwepo kiasi cha dola za Marekani 5.6 milioni. Kamwelwe amesema kwa sasa bodi ya uwanja huo ni ya wazalendo watupu na tayari wameanza kutoa gawio Serikalini na kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…