Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
1594093732461.png

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo.

Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa Dkt. Emmanuel Ishengoma amesema wamesikia kilio cha wasanii akiwemo msanii Harmonize ambaye ametoa ombi lake kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuendeleza utaratibu wa kutoa tuzo kwa wasanii ili kuongeza ushindani ulio wa kweli na kuhamasisha wasanii kufanya kazi zenye weledi na ubora zaidi.

Chanzo: TBC
 
Tuzo hii itakuwa na utata pamoja na ugomvi pale Diamond Platnums atakapo chukua tuzo katika vipengere vyote hapo ndipo utazisika timu za Kibakuli a.k.a kibanio na yule mmakonde watakavyo lia
 
Back
Top Bottom