serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa upande wa Serikali, zimeni Mitandao ya Kijamii upande wa CHADEMA & ACT, wana CCM hawana makosa wao waendelee kuperuzi

    Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa nawashauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao maana wao hawakupakua hata VPN, kwahio waoneeni huruma muwape access yamitandao lakini muwazuie...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya faraja kwa viongozi waandamizi wa Serikali kuelekea Awamu mpya ya Taifa letu

    Unapoingia kwenye UCHAGUZI hasa katika nchi zinazoendelea kama ya kwetu upo uwezekano mkubwa baada ya matokeo viongozi walioshiriki kusimamia flani ashinde wakapoteza kazi baada ya kiongozi huyo kuingia madarakani. Katiba yetu imempa mamlaka Rais kuteua na kutengua mtu yeyote aliyepo chini yake...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  4. JamiiForums Tanzania Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?

    Wakuu Salaam: Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto? Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue! Nimemaliza.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi walisimamia kuingia madarakani Serikali ya awamu ya Tano walitumbuliwa na baadhi kutiwa ndani

    Kwa umri wetu tunaona mengi, kiongozi anapofanya kampeni usaidiwa na watu mbalimbali na wengi uwalipa fadhila ya ajira. Ntatoa mfano, Yule kijana Nassary wa Arusha ameahidiwa ajira, ili apate hiyo ajira lazima Kuna mtu atapoteza ajira. Hi ni ishara ya namna watu wanavyoadhibiwa na wanasiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali, zungushieni uzio wa katika eneo watu wanapoteka maji na kuoga huko Buchosa, Sengerema kuepuka hatari za kushambuliwa na mamba

    Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seng'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Liwale: Nitakuwa Rais msikivu na nitaunda serikali ya umoja wa kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" LIWALE Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini. Tumefikia hapa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

    Kwa kanuni za msingi kabisa chama maana yake ni matakwa ya wanachama. Iwe kiitikadi, kimaslahi au hata kimatarajio. CCM imeanza kupoteza kwa kasi misingi hii ambayo inajengwa kwa ushawishi wa wanachama. Hii ni hatari. Katika kampeni tunazoziona Mwenyekiti wa chama hana tofauti na rais wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

    Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa!

    Pamoja na kwamba mimi ni mwamini Mungu lakini naona huu utaratibu ni kama unatuvuruga tu wananchi, kwani unaondoa dhana ya kutenganisha siasa na dini. Isitoshe mambo mengi ya siasa yamejaa uongo uzushi jazba na visasi mambo ambayo ni kinyume kabisa na maombi/dua/sala za viongozi wa dini.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ilidanganya kuhusu idadi ya barabara zenye lami

    Kenya had 11,230 kilometres of bitumen roads in 2013, according to data in the 2014 Statistical Abstract published by the Kenya National Bureau of Statistics. This closely matches the 11,000 figure used in the 2013 Jubilee manifesto. However, significant variations in official data mean that...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya UPDP kutoa matibabu bure

    MGOMBEA urais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema akichaguliwa, atahakikisha kila Mtanzania anapata tiba bure, kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi. Alitoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Soko la Gungu Kwa Zulu Natal Manispaa ya Kigoma Ujiji. Aliomba wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaonaje kama watumishi wa serikali na taasisi kubwa binafsi wakianza kulipwa mishahara yao kila baada ya wiki mbili na sio wiki nne (mwezi mmoja)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Mnaonaje kama watumishi wote wa serikali pamoja na wale wa taasisi kubwa binafsi wakianza kulipwa mishahara yao kila baada ya wiki mbili na sio wiki nne (mwezi mmoja) kama ilivyozoeleka sasa? Kwanini serikali pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa huundwa Mtandaoni, basi Mpaka sasa Tanzania ipo Mikononi mwa wanaCHADEMA

    Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika! CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania. Actually, Naweza...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu waijia juu Serikali, wasema Kikokotoo bado kipo kinasubiri kuwaliza watumishi

    Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania CHAKAMWATA kimelia kilio cha uchungu mkubwa sana kwamba kuna uonevu mkubwa sana unaofanywa na serikali ya awamu ya 5. Kimedai kwamba serikali iliwadanganya kusitishwa KIKOKOTOO na FAO LA KUJITOA. Kwamba hivi vitu bado vipo na vinasubiri muda...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  20. T

    JamiiForums Tanzania Serikali isipobadilisha Sera zake 2020-2025 watu wengi watakosa ajira

    Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana. Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo Wana punguzwa. Na makampuni mengi yanasubiri uchaguzi upite wapunguze watu hiyo sio Siri. Sera ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…