serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu Yawaachia huru Wavuvi haramu 8 kutoka Iran

    Wavuvi wa Iran walioachiwa huru kutoka Magereza ya Tanzania walipokelewa kwa furaha na Viongozi na familia zao huko Nchini Iran baada ya Maongezi na Serikari ya Tanzania. Bado wengine hawajaachiwa ni miaka minne sasa ishapita tokea wasweke ndani... ===== Eight Iranian sailors, held in...
  2. JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Mnyika anasema... Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is in financial distress, government admits

    Low revenue collection, a ballooning debt and the economic challenges of Covid-19 have plunged Kenya into a cash crunch, with all indications clear that the government is struggling. On Monday, Interior CS Fred Matiang'a hinted at a looming pay cut for civil servants in a desperate move to...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
  6. JamiiForums Tanzania Amekua jinamizi kwa serikali ya CCM

  7. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe upasuaji katika Hospitali za Serikali sharti malipo kwanza?

    Leo nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye tangu jana alimpeleka mgonjwa wake na hiyo jana aligharamikia ununuzi wa madawa kwa mgonjwa wake huku akiambiwa kuwa madawa husika hayapo kwenye stock. Leo mgonjwa huyo huyo anahitaji upasuaji na sharti alilopewa ni kulipia kwanza Tshs.240,000 na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kuanzia 2021 shule za serikali itaendelea kutoa elimu bure?

    Habari ya mchana wadau wa JF. Kuna kitu nilikuwa najiuliza sana, nikaona niwashirikishe na nyie. Je, serikali ya awamu ya 6 chini ya Mh. Magufuli itaendelea kutoa elimu bure kwa ngazi ya elimu ya msingi na upili kama ilivyokuwa kipindi anaingia madarakani 2015? Je, wanafunzi wataanza...
  9. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Tumeongeza uwezo wa kugundua wagonjwa wapya wa Kifua Kikuu

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi Na Englibert Kayombo WAMJW - Dodoma Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini iwe tu kwa Wafanyakazi wa Serikalini pekee kwani Wafanyakazi wa Sekta Binafsi nao hawastahili Unafuu?

    Government employees to get ease of student loans payment Wafanyakazi wa Serikalini kupata Unafuu wa Kulipia Mikopo ya Elimu ya Juu Chanzo: The Citizen Online GENTAMYCINE ninauliza kwani mngeunda tu Mwamvuli mmoja wa Kuwasaidia pamoja wa Serikalini na Binafsi bado tu msingefikia Lengo lenu Kuu?
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni lini Malalamiko ya Michezo yakashtakiwa kwa Msemaji wa Serikali?

    Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Kwako Dkt. Hassan Abbas Hatuna shaka kwamba wewe nikiongozi makini na unayefuatilia nakusimamia mambo kwa weledi mkubwa. Hatuna shaka na Utendaji wako na msimamo wako katika kutetea aki na Maslahi ya vilabu vya soka...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Naomba isiwapangie bei ya kuuza cement,wachwe watumie fursa

    Naishauri Serikali yangu ambayo ina lengo kubwa la kuinua viwanda na biashara katika hasa suala hili la cement. Naomba Serikali isiingilie bei na kuwapangia wauzaji wauze kwa bei fulani na bei fulani, hii naona kama inarudisha nyuma kidogo. Acha watu wanunue kila mmoja auze kwa bei yake...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali inunue magari katika majimbo kwa ajili ya wabunge

    Hili suala la kuwapa wabunge mamilioni ya fedha kwa ajili ya wabunge lifutwe kabisa. Miaka ya utawala wa awamu ya kwanza na pili serikali ilikuwa inatoa gari kwa kila jimbo kwa matumizi ya mbunge na kipindi ubunge unapoisha gari linabaki kwenye jimbo kwa matumizi ya mbunge anayefuata.
  14. JamiiForums Tanzania David McAllister hajawahi kuipenda Serikali ya Tanzania "Ni vita ya uchumi"

    TUSIHOFU, HII NDO VITA YA KIUCHUMI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana kumezuka mtifuano mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kile kilichoelezwa kuwa ni maazimio ya bunge la EU kwa Tanzania. Lakini baada ya ufafanuzi wa Balozi wa Tanzania juu ya wapotoshaji hali imetengamaa. Lakini pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kuwafunga Waethiopia/Wasomali, wana-hustle tu kama sisi

    Ni sawa wamevunja Sheria zetu kuingia kwenye nchini bila ya kibali lakini tusiwafunge na kuwatoza mafaini makubwa aidha tuwaache wapite au tuwarudishe. 95% ya Wasomali/Waethiopia wanaoingia nchini bila ya kibali wanapita tu wanakwenda AK kutafuta maisha, wana-hustle tu kama Wabongo wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Wazungu kuiita Serikali yetu "Regime" ni sawa?

    Maana ya regime ni nini? je, neno regime lina maana sawa na government? Niliwasikia wajumbe wa kamati mojawapo ya European Union wakisema Tanzania kuna regime ambao alipewa hela za covid-19 wakati wenyewe wanasema hakuna covid. Neno walilotumia ni sahihi kiasi gani?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anachelewesha Baraza la Mawaziri sababu Serikali haina pesa?

    Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa. Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Mwinyi kwamba Manaibu Waziri wanaongeza gharama za Serikali naamini Rais Magufuli atafanya hivyo pia!

    Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake. Ni imani...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

    Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa. Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

    Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1 nchini Dkt John Pombe Magufuli Imeamua kutimiza ahadi yake kwa kishindo Mkoani Mara Imegharamia mradi mkubwa wa Thamani ya Tsh Bilioni 70 utakaosambaza Maji Kutoka Ziwa Victoria kuelekea Majimbo ya Musoma Vijii, Butiama na Bunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…