Serikali yasalimu Yawaachia huru Wavuvi haramu 8 kutoka Iran

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,756
1606301847135.png

Wavuvi wa Iran walioachiwa huru kutoka Magereza ya Tanzania walipokelewa kwa furaha na Viongozi na familia zao huko Nchini Iran baada ya Maongezi na Serikari ya Tanzania.

Bado wengine hawajaachiwa ni miaka minne sasa ishapita tokea wasweke ndani...

=====

Eight Iranian sailors, held in Tanzania for four years on trespassing charges, have now returned home owing to successful diplomatic efforts by Iranian authorities.

AhlulBayt News Agency (ABNA): Eight Iranian sailors, held in Tanzania for four years on trespassing charges, have now returned home owing to successful diplomatic efforts by Iranian authorities.

The sailors arrived in Chabahar on Monday after being freed by Tanzania last week, Hamid-Reza Tousi, head of Foreign Ministry’s representative office at the southern Iranian port city, said.

The official said their release was owed to the ministry, the Iranian embassy in the African nation’s largest city of Dar es Salaam, and his office’s engagement in diplomatic endeavors and negotiations with Tanzanian authorities.

Iran’s efforts, he added, featured multiple meetings between the Iranian ambassador and Tanzania’s president, attorney general, and other legal authorities.

Tanzania still holds as many as 22 Iranian fishermen in custody, Tousi noted.

He advised against potential criminal behavior, including violation of other countries’ territorial waters, that could warrant a confrontation. The official also urged relevant Iranian bodies to properly educate and inform Iranian seafarers to prevent similar incidents in the future.

The Islamic Republic’s own sovereign waters are subject to repeated acts of trespassing by foreign vessels.

Iran, however, mostly refrains from taking immediate drastic measures against trespassers, preferring instead to engage in negotiations with their respective countries to resolve matters.
 
Kuna faida gani ya kuwashikilia miaka yote hiyo. Ninavyojua tabia zetu, kwa kuwa ni watu wa nje, watakuwa wanalishwa biriani kila siku. Gharama zote hizo za nini?
 
Ulishawahi kukaa gerezani?
Kama hauna experience don't talk
Ukienda gerezani kama hauna hela utakula ugali maharage hata kama unatoka Marekani kwa Trump.

Iko hivi; ukiwa mahabusu bado wewe ni mtuhumiwa (not guilty) una haki ya kula chochote unacholetewa kutoka nje au kununua kama unamudu kwa miaka yote utakayokaa pale.

Ukishahukumiwa unakuwa mfungwa, hapa utakula ugali maharage, fair iliyopo unaweza kuletewa matunda, kama gereza liko fair (sio sheria) unaweza kuletewa bites bites za hapa na pale.

Back to Iranians hao walikuwa wavuvi tu sasa hiyo Birian angeleta nani? Maana ukisikia mtu anakula vizuri gerezani ujue ni fedha yake au ndugu zake wanawezezha usidhani ni Serikali inamlisha vizuri.

Mtu mwingine anayeweza kula vizuri gerezani ni aliyefungwa na mdeni wake, kwa mujibu wa sheria mdeni wako akikupeleka jela anatakiwa kumudu gharama za mlo wako na ule kwa hadhi yako, kifupi anatakiwa kukuhudumia ukiwa jela, hapa ndio unasikiaga usemi deni halifungi mtu, kwakua hakuna aliye tayari kukufunga kisha akulishe.

Ukiwa na swali uliza nitakujibu ili ujiandae kisaikolojia siku ukienda jela usisumbue watu.
 
Hamna tatizo hapo, ukumbuke siasa za tz hazifungamani na siasa za watu wengine
 
Shukran kwa somo!
 
Inaonekana mkuu una uzoefu na haya mambo..
 
Bahari ni mali ya Mungu kwanini umzuie mtu kuvua samaki???

Mbona sisi Malawi waliposema Ziwa Nyasa ni mali yao tulikuja juu??!!
 
Hata mkeo ni kaumbwa na Mungu, kwa maana hiyo mkeo ni mali ya Mungu. Tafadhali nipe namba yake niweze kumfaidi maana si wako ni wa Mungu.
 
Back
Top Bottom