Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi.

Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa Application hizo ni sawa na sababu zile ambazo zilitolewa wakati app ya Tik Tok ilipo fungiwa mapema miezi kadhaa iliyopita, ambapo india iliainisha kuwa pamoja na sababu nyingine Apps hizo sio salama kwa matumizi kwa wananchi wake.

Kwa sasa Serikali ya India imefungia zaidi ya apps 210 ambapo hii ni pamoja na app zilizotangazwa kwenye taarifa ya mwezi wa 9 na mwezi wa 6 mwaka 2020.

=======================
  • The Indian government has banned 43 more apps of Chinese origin.
  • The latest apps to have been banned in the country include AliExpress, TaoBao Live, and CamCard.
  • They have been banned for “engaging in activities prejudiced to the sovereignty and integrity” of the country.
In June this year, the Indian government banned 59 apps of Chinese origin, including popular ones such as TikTok, UC Browser, and Xiaomi’s Mi Community. Three months later, PUBG Mobile and 116 other Chinese apps were banned in the country. The Indian government has now banned 43 more apps over links with China.

India’s Ministry of Electronics and Information Technology said in a statement:

Here’s the full list of the 43 apps that have been banned in the country:
  • AliSuppliers Mobile App
  • Alibaba Workbench
  • AliExpress – Smarter Shopping, Better Living
  • Alipay Cashier
  • Lalamove India – Delivery App
  • Drive with Lalamove India
  • Snack Video
  • CamCard – Business Card Reader
  • CamCard – BCR (Western)
  • Soul- Follow the soul to find you
  • Chinese Social – Free Online Dating Video App & Chat
  • Date in Asia – Dating & Chat For Asian Singles
  • WeDate-Dating App
  • Free dating app-Singol, start your date!
  • Adore App
  • TrulyChinese – Chinese Dating App
  • TrulyAsian – Asian Dating App
  • ChinaLove: dating app for Chinese singles
  • DateMyAge: Chat, Meet, Date Mature Singles Online
  • AsianDate: find Asian singles
  • FlirtWish: chat with singles
  • Guys Only Dating: Gay Chat
  • Tubit: Live Streams
  • WeWorkChina
  • First Love Live- super hot live beauties live online
  • Rela – Lesbian Social Network
  • Cashier Wallet
  • MangoTV
  • MGTV-HunanTV official TV APP
  • WeTV – TV version
  • WeTV – Cdrama, Kdrama&More
  • WeTV Lite
  • Lucky Live-Live Video Streaming App
  • Taobao Live
  • DingTalk
  • Identity V
  • Isoland 2: Ashes of Time
  • BoxStar (Early Access)
  • Heroes Evolved
  • Happy Fish
  • Jellipop Match-Decorate your dream island!
  • Munchkin Match: magic home building
  • Conquista Online II
While most of the apps on the list are still available to download on the Google Play Store, we expect them to be pulled down very soon. The ministry says it issued the order for banning these apps in the country based on “comprehensive reports” that it received from the Indian Cyber Crime Coordination Center, Ministry of Home Affairs.
 
“engaging in activities prejudiced to the sovereignty and integrity”
Nilishangaa majuzi watu walivyochukizwa na Star Tv kufyekelea mbali habari ya Amnesty Intenational!
 
Vita aliyoshindwa USA kwenye playstore ndio hana taka kuforce mpaka kwenye app za china zilizo kwenye pakuzi tofouti .hii choko choko bado hipo
 
Idadi ya developers wa kimataifa wa India inakaribia kuwa kubwa, India imeona ili kuwapa fursa developers hao, ni vyema wafungie apps za Kichina zilizofurika ili developers wake wapate shavu na kuitangaza tech ya India kiujumla.
Si kweli,sababu ni mtifuano wa juzi kule mpakani kati hapa kati ya India vs China.

Tiktok ilipigwa ban chap baada tu ya wala pilipili kulambishwa alamba alamba na macho madogo.
 
Idadi ya developers wa kimataifa wa India inakaribia kuwa kubwa, India imeona ili kuwapa fursa developers hao, ni vyema wafungie apps za Kichina zilizofurika ili developers wake wapate shavu na kuitangaza tech ya India kiujumla.
Lkn sidhan km hao developers wa kihind km watapata fursa ktk soko la uchina.
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi.

Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa application hizo ni sawa na sababu zile ambazo zilitolewa wakati app ya Tik Tok ilipo fungiwa mapema miezi kadhaa iliyopita, ambapo india iliainisha kuwa pamoja na sababu nyingine apps hizo sio salama kwa matumizi kwa wananchi wake.

Kwa sasa serikali ya India imefungia zaidi ya apps 210 ambapo hii ni pamoja na app zilizotangazwa kwenye taarifa ya mwezi wa 9 na mwezi wa 6 mwaka 2020.

=======================
  • The Indian government has banned 43 more apps of Chinese origin.
  • The latest apps to have been banned in the country include AliExpress, TaoBao Live, and CamCard.
  • They have been banned for “engaging in activities prejudiced to the sovereignty and integrity” of the country.
In June this year, the Indian government banned 59 apps of Chinese origin, including popular ones such as TikTok, UC Browser, and Xiaomi’s Mi Community. Three months later, PUBG Mobile and 116 other Chinese apps were banned in the country. The Indian government has now banned 43 more apps over links with China.

India’s Ministry of Electronics and Information Technology said in a statement:

Here’s the full list of the 43 apps that have been banned in the country:
  • AliSuppliers Mobile App
  • Alibaba Workbench
  • AliExpress – Smarter Shopping, Better Living
  • Alipay Cashier
  • Lalamove India – Delivery App
  • Drive with Lalamove India
  • Snack Video
  • CamCard – Business Card Reader
  • CamCard – BCR (Western)
  • Soul- Follow the soul to find you
  • Chinese Social – Free Online Dating Video App & Chat
  • Date in Asia – Dating & Chat For Asian Singles
  • WeDate-Dating App
  • Free dating app-Singol, start your date!
  • Adore App
  • TrulyChinese – Chinese Dating App
  • TrulyAsian – Asian Dating App
  • ChinaLove: dating app for Chinese singles
  • DateMyAge: Chat, Meet, Date Mature Singles Online
  • AsianDate: find Asian singles
  • FlirtWish: chat with singles
  • Guys Only Dating: Gay Chat
  • Tubit: Live Streams
  • WeWorkChina
  • First Love Live- super hot live beauties live online
  • Rela – Lesbian Social Network
  • Cashier Wallet
  • MangoTV
  • MGTV-HunanTV official TV APP
  • WeTV – TV version
  • WeTV – Cdrama, Kdrama&More
  • WeTV Lite
  • Lucky Live-Live Video Streaming App
  • Taobao Live
  • DingTalk
  • Identity V
  • Isoland 2: Ashes of Time
  • BoxStar (Early Access)
  • Heroes Evolved
  • Happy Fish
  • Jellipop Match-Decorate your dream island!
  • Munchkin Match: magic home building
  • Conquista Online II
While most of the apps on the list are still available to download on the Google Play Store, we expect them to be pulled down very soon. The ministry says it issued the order for banning these apps in the country based on “comprehensive reports” that it received from the Indian Cyber Crime Coordination Center, Ministry of Home Affairs.
Watajuana wenyewe sisi tupo bize Ufipa na wateule 19
 
Idadi ya developers wa kimataifa wa India inakaribia kuwa kubwa, India imeona ili kuwapa fursa developers hao, ni vyema wafungie apps za Kichina zilizofurika ili developers wake wapate shavu na kuitangaza tech ya India kiujumla.

Kinacho endelea hapo ni muendelezo wa vita vya kiuchumi/biashara - lakini Mimi siungi mkono mbinu vinazo tumia na wahindi kuhujumu biashara za Wachina - Dunia inacho taka ni kuruhusu ushindani wa biashara na sio Mataifa kufanyiana hujuma na hila - ya nini India kujaribu kuitisha Dunia eti apps za Wachina zina embedded programs za kijasusi - ulaghai mtupu.

Kama India imeshindwa kushindana na China kibiashara na kiteknilojia ya nini kuharibia sifa China. Wahindi walivyo na wivu na hinda wanategemea uongo wao utaifanya Amerika nayo ipige marufuku apps tajwa za Kichina ili China iharibikiwe kibiashara, kama nilivyo sema tangu mwanzo hilo ndilo lengo kuu la Wihindi.

Sababu nyingine ambayo inaweza kuwa inewasukuma wa Hindi kufikia hatua hii ya kushangaza inaweza kuwa inatokana na ugomvi wa mipaka kati ya India na China - mwaka huu majeshi yanayo linda mipaka yalipigana na kupoteza wanajeshi pande zote mbili, lakini India ndio ilipata hasara zaidi, hivyo India inaweza kuwa inawasingizia Wachina kuhusu ubaya wa apps za kichina, wanatumia visingizio hivyo kuwakomoa/lipiza kisasi kwa Wachina.

Mapema mwaka huu India iliwahi kuzulia China kwamba Tik Tok apps ni hatari, Amerika nayo ilitaka kuwaiga Wahindi katika apigaji marufuku apps za Tik Tok lakini baadae Amerika iliruhusu apps za Tik Tok kutumika Nchini.
 
Acha mahaba kaka kama hap wachina wangetaka ushindani basi wangeacha na kwao app za kigeni zifanye kazi kama sisi outersides tulivo ziacha za kwao
 
Acha mahaba kaka kama hao wachina wangetaka ushindani basi wangeacha na kwao app za kigeni zifanye kazi kama sisi outersides tulivo ziacha za kwao.kama mchina anateknolijia kubwa mbona anajifungia kwa kuogopa ushindani?
 
Back
Top Bottom