serikali

  1. JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie tu kukanusha madai ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini, bali iwahakikishie usalama wao

    Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana" Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia nchi hii na kwenda kutafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi. Miongoni ya viongozi waliopata Hifadhi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siku Viongozi Wakuu wa Serikali wakifanya haya nitaamini ni Wazalendo

    1. Wakiacha kujilipa mishahara mikubwa na posho za vikao na safari, kisha kuelekeza fedha walizostahili zikatengeneze huduma za kijamii. Hakuna ukweli kwamba wao wanalipiwa nyumba, posho, mishahara na marupu rupu kibao then tuwaite wazalendo. Wao wanakula zaidi kuliko sisi? 2. Siku watoto wao...
  4. JamiiForums Tanzania Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

    Kichwa chajieleza, HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

    Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽 #Uzi tayari #maendeleo haya chama
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Ifike muda wahitimu wa vyuo waliokopeshwa na Serikali kusoma, walipe deni bila riba

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
  8. JamiiForums Tanzania Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Serikali bado haijakamilisha kuhamishia Ofisi zake Dodoma (Makao Makuu ya Serikali)

    Ukiangalia mpango mzima wa Serikali kuhamia Dodoma mpaka mwaka huu wa 2020 ukiwa unaenda ukingoni kuna taasisi nyingi za Umma bado zinaendesha shughuli zake zikiwa nje ya makao ya serikali wengi wao wakiwa Dar es Salaam wakati mkuu wa nchi tayari yeye alishafuta makazi yake ya Dar es Salaam ...
  10. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anasema hawezi kuwafukuza bungeni Wanawake kwa maana dunia itamshangaa; lakini hashangai Serikali kuwafukuza shule wanawake

    Wakuu amani iwe nanyi Mwendelezo wa mtifuano mkali, CCM sasa inamtetea mwanamke kwa kila namna. Ni hivi: Jana spika Job Ndugai alisema kuwa hawezi kuwafukuza bungeni wale akina mama kwa sababu dunia nzima itamshangaa kwa kuwafukuza wanawake bungeni na hali hiyo itapelekea yeye binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge inapanga bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za viwandani, lakini kwa makusudi imeamua kuwapuuza na kutowajali kabisa wakulima

    Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini. Wakulima wanaishi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani kwa nia ya kuondoa upandishwaji holela unaofanywa na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu. Waziri Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira waache kuiangalia Serikali, watumie YouTube kujinasua kiuchumi

    Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

    Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Moja ya hoja Maalim Seif kwa SUK ni Masheikh wa Uamsho kuachiwa au kesi yao isikilizwe

    Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo. Amejaribu alivyoweza kumvuta Maalim Seif karibu kwa lengo lakupunguza machungu lakini bado hajaondoa...
  18. JamiiForums Tanzania Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

    Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Matsai: Watanzania tunatambuana kwa Utanzania wetu na siyo Dini zetu, serikali ijenge fly over Jangwani!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini. Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo. Kadhalika mchungaji...
  20. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…