serikali

  1. Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  2. Ni huduma gani uliyopata kutoka Taasisi ya Umma/Binafsi kinyume na matarajio ikakustajabisha?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka jana, Ndugu yangu mmoja alikuwa amemaliza kidato cha sita na alikuwa huko sitimbi. Akanipigia simu ili nimsaidie upatikanaji wa cheti chake cha kuzaliwa ili aombe mkopo baada ya matokeo kutoka kama vigezo vilivyokuwa vimeainishwa. Nikawazamia RITA, nikajaza fomu zao kwa...
  3. Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

    Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi Wanasheria...
  4. B

    Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

    11 Julai 2020 Dodoma, Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma Imewekwa Tarehe: July 10th, 2020 Serikali leo imetia saini mikataba miwili ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa Barabara ya lami ya njia nne ya Mzunguko (Outer Ring Road) ndani ya...
  5. Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

    Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa. Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka. Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi...
  6. Kuvaa barakoa kwenye Ofisi za Serikali lazima?

    Habari Wanajamvi, Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe...
  7. T

    Serikali iajiri walimu wa sekondari na msingi, hali ni tete mashuleni

    Kwa heshima na taadhima naomba kuhufahamisha umma changamoto mbalimbali tunazopitia mashuleni nahisi kama serikali haijui au na kama inajua na imeamua kukaa kimya hali mashuleni mbaya sasa hivi vipindi vinamalizika mashuleni saa 11 mpaka 12. Kwa hiyo mwalimu au waalimu tuna toil kinyama bora...
  8. Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

    Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
  9. Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

    Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu...
  10. R

    Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
  11. Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  12. L

    Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  13. Uganda Bodaboda waishitaki Serikali kwa kuwazuia kuendelea na biashara

    Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
  14. Serikali kufikisha umeme mgodi wa stamigold Biharamulo

    Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha kuwa, ifikapo mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu, umeme uwe umefikishwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold uliopo Biharamulo. Alitoa maelekezo hayo jana, Julai 6, 2020...
  15. VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  16. Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo. Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya...
  17. J

    RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  18. P

    Kwa hali ya ajira ilivyo sasa, Serikali fikirieni upya kuhusu fao la kujitoa kwenye ajira

    Kuna kundi kubwa sana la vijana wasiokuwa na ajira ama wako kwenye ajira zisizo rasmi na ajira za ujira mdogo. Hawa wote wanategemea siku moja kupata kazi zenye maslahi ya kuridhisha. Kibaya zaidi kuna watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi lakini sio wote walio na malengo ya kustaafu...
  19. Waziri Kairuki: Serikali itaboresha Mazingira ya Uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili kuvutia sekta hiyo. Akizungumza jijini Arusha katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili Kairuki alisema kuwa serikali chini ya...
  20. Serikali yapongezwa kwa kusimamia Uchumi imara na jumuishi uliopelekea Tanzania kuingia Uchumi wa Kati Duniani

    Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati miaka mitano kabla ya wakati. Katibu wa NEC –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…