serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mlichotufanyia Bus la Mghamba, Arusha-Kahama ni kitendo cha kinyama. Serikali itazameni kampuni hii

    Tumefika Singida mbele kuelekea Misigiri gari ikaharibika. Kondakta alitokomea kwenda mjini na abiria tukawa tumetelekezwa. Jirekebisheni
  2. JamiiForums Tanzania Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijafunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani

    Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani. Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini wengine wasome English Medium na wengine Swahili medium wakati zote za serikali? Pili sasa hivi tuko...
  5. JamiiForums Tanzania Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  6. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hackers hatari duniani waidukua serikali ya Uganda

    ukitaka kujipakulia ujionee mambo ingia. hapa ni hatari sana. info.csv - AnonFiles
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara. Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa siku moja kusikia Serikali inakusudia kuivunja EWURA

    Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali lakini ni vigumu kuiingilia na zaidi ni vigumu kwa watawala kuweka mtu wao kama Mkurugenzi Mkuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Je, website hii iliyokuwa inatoa Salary Slips nayo pia ilikuwa ni ya Serikali?

    Site yenyewe hii hapa: http://watumishiportal.utumishi.go.tz/ Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017 Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017 Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
  14. JamiiForums Tanzania Mhitimu, Serikali ifanye nini ili uweze kujiajiri?

    Hii ishu imesemwa sana lakini naomba nirudie. Serikali yetu imeajiri watu kama laki tano tu usipojumlisha wanajeshi na polisi. Sehemu kubwa ya hao, kama asilimia 50 ni waalimu. Ukiangalia hapo hata serikali ikisema iajiri watu kadri inavyoweza haitaweza kutatua tatizo la ajira. Serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango. Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000. Mbaya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Wilayani Misungwi izuie uonevu kwenye hospitali ya Misasi

    Wakuu habarini, Kuna vituko sana hii nchi mpaka unaweza kuchanganyikiwa. Katika hospitali ya MISASI iliyoko wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza. Kuna tabia ya waganga/wauguzi kuwaambia wagonjwa wanunue baadhi ya vifaa rahisi sana vinavyotakiwa kuwa hospitali. Na vilevile walipie pesa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence. ======== Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania Jan 11, 2021 Montero has...
  20. J

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao. Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…