Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika.
Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo.
Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii.
Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii.
Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko.
Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
"Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo
Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano.
Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar.
Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
Katika jina la JMT kazi iendelee,
Kichwa cha andiko hili kisihusishwe kabisa na kupinga mawazo ya wataalamu au kupinga utaalamu unaofanywa na wataalamu mbalimbali katika kuishauri Serikaki juu ya miradi na masuala mbalimbali.
Wataalamu wamekuwa wakitoa mchango mzuri lakini wapo waliokuwa...
Nadhani wataalamu wetu waliosomea fani ya maji na walioajiriwa katika mamlaka ya maji wanapitia wakati mgumu Sana na nadhani wanajuta kwanini walisomea taaluma hizo hasa wahandisi.
Muda uliopita nimeona Aweso ameamrisha watumishi wa maji sengerema 6 wakamatwe na wakawekwe ndani kwasababu...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema.
"Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."
Nimeitafuta hiyo hotuba sijaipata. Je Nyerere alipoanzisha serikali za mitaa alipanga ziwe...
Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni.
Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi.
Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha mahakama na kutoa hukumu kimila.
Katika kupambana na wizi au uhalifu katika jamii, baadhi ya nchi...
Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1. Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu...
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali.
Hili kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.