Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema.
"Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."
Nimeitafuta hiyo hotuba sijaipata. Je Nyerere alipoanzisha serikali za mitaa alipanga ziwe zinajitegemea? Nyerere alikuwa muumini wa ugatuzi?
Kama ni hivyo, imekuwaje leo serikali kuu kupoka madaraka ya serikali za mitaa?