serikali

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

    Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani. Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa mtaji wanaohitimu mafunzo JKT

    SERIKALI imesema itaangalia namna ya kuwapa mtaji vijana wanaohitimu mafunzo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili ujuzi wanaoupata usipotee badala yake wakautumie uraiani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

    Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

    Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu. Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ipo serious kupambana na Delta variant (Corona 3)?

    Hivi Serikali yetu ipo serious kupambana na ugonjwa wa Delta (Indian variant)yaani corona 3? Wenzetu,ndugu zetu Waganda,DRC,Rwanda Serikali zao zimechukua hatua kali na madhubuti kukabiliana na huu ugonjwa hatari. SINA HAJA YA KUANDIKA MENGI,WENZETU WAAFRIKA WANATEKETEA HASA UGANDA NA...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha shule za michezo mikoa yote nchini

    Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha shule maalum za michezo, za msingi na sekondari, katika mikoa yote nchini lengo likiwa ni kuwa na shule na vituo maalum vya kuendelezea vipaji vya michezo (sports academies). Akizungumza kwenye Sherehe za kufunga mashindano ya Michezo na...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  8. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

    Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali. Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara. Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kufunga vifaa vya kielektroniki kufuatilia nyendo za vyombo vyote vya usafiri

    Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali yatoa wito kwa waasi wa Tigray kukubali kumalizika mapigano

    Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa. Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi ya mafuta na kushusha ya vinywaji ni sawa na Muuaji anayetabasamu

    Anapotokea mtu akapandisha kodi ya Mafuta akashusha kodi ya Vinywaji na wananchi wakaridhika inaonesha ni jinsi gani tuna taifa la kinafiki kwa kiwango kikubwa. Kuna wale wauaji ambao huwa wana sura za upole na hawajengi makunyanzi wakati wakitaka kutimiza malengo yao. Hawa wanaweza...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  13. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Shahada kuna namna mnahujumiwa na Serikali, ajira zimekuwa za kibaguzi. Fanyeni jambo ili elimu yenu ithaminiwe

    Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
  16. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

    Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuikosoa Serikali ni haki yetu

    Nani anasema maoni pinzani,maoni kinzani yamezuiwa katika nchi hii. Matatizo ya Wapinzani IGP Sirro alikuwa anawagombeza Chadema katika Uchaguzi uliopita. Anasema Chadema walikuwa hawana heshima kwa Polisi. Tundu Lissu alikuwa anafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali katika Bunge. Kashkash ya...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali haiwezi kupima miji yote kabla ya ujenzi holela kuenea?

    Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli. Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo. Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
  20. yousaw

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
Back
Top Bottom