serikali

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchukiwa ni mambo kama haya yanachangia

    Mabibi na mabwana tunayoyaona sasa ni mwendelezo wa chuki zinazoletwa na mambo kama haya: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/cwt-wapinga-uanzishwaji-bodi-ya-walimu-3364840 Kwanini shughuli zingine kwa mujibu wa sheria tu, ziwe zina expiry dates isipokuwa kwa kazi za wanasiasa wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania ATCL imeanza kupaa sana kimapato. Mbunge Zungu Ashauri serikali iige inachofanyiwa Ethiopian Airline na Serikali yao

    Toka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa ATCL KWA ASILIMIA 100 ilikuwa ikilipwa na serikali sasa hivi serikali inalipa asilimia 17 tu kiasi...
  5. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio

    Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio. [
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yataka Watanzania kumpuuza Profesa Assad kuwa 60% ya Viongozi wa Umma nchini hawana uwezo

    Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilolo ahoji ni lini Serikali itashusha gharama za vifurushi

    Mbunge wa Kilolo, Justin Nyamoga akiwa Bungeni Dodoma leo amehoji ni lini Serikali itarudia mpango wake wa awali wa kushusha vifurushi ili Watanzania wavipate kwa bei nafuu. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amesema changamoto ya Biashara ya Mawasiliano...
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

    Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu. Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaahidi neema watumishi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema atazingatia maslahi ya watumishi wa umma ikiwamo nyongeza ya mishahara, malipo ya wastaafu na kupandiswa kwa madaraja kwa mujibu wa sheria. Mchengerwa alisema hayo juzi jijini hapa alipokuwa akizungumza na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula atoa Ushahidi kesi ya Madawa(Bangi) inayomkabiri Paul Ikumbi

    MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula, amedai baada ya kufanya uchunguzi wa kete 43, zizaniwazo kuwa ni bhangi alibaini kwamba ni bhangi ambazo zilikuwa na kemikali ya Tetrahydrocannabinol(THC), ambayo husababisha ulevi usiopoonyeka kirahisi. Malamula ambaye ni...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi vya simu asilaumiwe Waziri Ndugulile au makampuni ya simu bali Serikali

    Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

    Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

    Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu. Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando. Mbowe alitamka bila...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimefanya Vodacom wadharau agizo la Serikali kuhusu bei za bando?

    Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vilivyokuwa vikifanywa na kile kikosi cha Task Force cha TRA, Je Serikali ilikuwa na tofauti gani na majambazi?

    Kwa kweli kwa kila mtu aliyemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akilihutubia Taifa kupitia social media, kuhusu madhira aliyopitia kwa miaka 5 mfululizo ya kunyanyaswa na kuteswa hadi kufungiwa akaunti zake za benki na hicho kinachoitwa Task Force ya TRA, hakika atakuwa amelengwa...
Back
Top Bottom