serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kundi linalomtetea Mbowe lidhibitiwe na serikali

    Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali? Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kuwa Mtumishi wa Serikali Hakumaanishi Una Akili Kuliko Wananchi

    Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu. Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida. Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

    Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanye nini kukuza uchumi wa viwanda nchini na kutengeneza ajira

    Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe; Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama chanzo cha malighafi za kwenda viwandani Tanzania ni nchi kubwa sana na sehemu isiyoishi watu (mapori)...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya chanzo hiyo itatolewa kwa makundi ya mstari wa mbele ambayo yatawekwa wazi siku ya kesho. Amesema kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe mwongozo wa kuainisha ipi mikusanyiko ya lazima na ipi ni mikusanyiko isiyokuwa na lazima

    Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia tunajionea kuna mikusanyiko inaendelea lakini inahisiwa siyo ya lazima. Sasa kumekuwa na Mkanganyiko...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ushauri wa Bure kwa Wizara ya Afya na Serikali

    Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo. Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo mengi. Hata hivyo kutokana na thamani ya maisha ya binadamu, nisiache kuandika haya ambayo aghalabu...
  11. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

    Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi? Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikopo ya serikali kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu izingatie na haya

    Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea. Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  14. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  17. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  18. DustBin

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

    Habari zenu? Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo. badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari, watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge...
  20. JF Member

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kutegemea wafadhili hatutapiga hatua

    Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu. Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi. Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo. Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
Back
Top Bottom